Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tia neno mkuuAiseee
Jamaa anachoniudhi ni kwamba kila kitu anasema nyumbani.Ukiona mwanamke unamtilia wasiwasi ni bomu hilo litakuja kukulipukia...kitu kinachokunyima usingizi kiache sio chako,
vijana narudia tuoe kuanzia 29 years hata kama una mchumba umempa mimba akuvumilie mpaka ufike 29 ndo muoane kama ni wako utamjua tu humo kati kuliko aibu ya baadae unaoa mtu asiye sahihi
Ulikuwa utoto na ushamba tu mkuu.Jamaa anachoniudhi ni kwamba kila kitu anasema nyumbani.
Nishasahau kitambo sanaEsabu kuanzia siku kumi mbele baada ya kukatika hedhi...
[emoji855]Mkuu inabidi utunukiwe cheti cha uvumilivu [emoji119]
Yaani hawana jemaDah watu wa humu ikiwa fupi shida, ikiwa ndefu shida[emoji1][emoji1]
Kweli kabisaLilishaisha likaibua shida nyingine
Yaani ujinga wa mwanamke mmoja unasababisha wengine waishi na mimi kwa tabu sana
Kuna wanawake hapa watashadadia aliyofanya mwenzao hawajui pengine wanawachukia wanaume kwa ushenzi waliofanyiwa bila kujua sababu inaweza kuwa wanawake wenzao
Ogopa kuangukia kwa mwanaume mwenye historia zake huko atokako
NoUlikuwa utoto na ushamba tu mkuu.
Dah watu wa humu ikiwa fupi shida, ikiwa ndefu shida[emoji1][emoji1]