True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

Kuna kitu kinanisumbua sana kuachana na huyu mwanamke maana najua tu kwa tabia zake hizi anazonionesha atakuja kunisumbua huko mbele nikapitia kama uliyopitia.

Anyway nadhani nikienda "beach" mara mbili tatu najua nitapata solution ya hili suala.

Uzi mzuri mkuu. Unafundisha
 
Kama hujapima DNA bhasi usimkatae mtoto kisa tu mna tofauti na mama.. mambo yako na mkeo yeye hayamuhusuu so play part yako kama baba na mama ake apambane na hali yake. Pole sana ila ni fundisho kwa wengine chagua mama bora kwa wanao na mke mwema kwako sio mwanamke ambae anatimiza haja zako za kingono.
 
Samahani mkuu naomba unisaidie unaangalia nn ili kujua mtt ni wako au umepigwa ikitokea hujafanana nae? Maana naona umelisema juu juu, utakua umenisaidia sana mkuu.
Mtoto Kama ni wako Cha Kwanza huwa Ni pua, masikio, macho na kidevu Na pia kitu kingne Kama ni wa kiume mashine Kama wewe Ni kubwa mtoto pia atakuwa nayo kubwa and vice versa ndo maana mtoto akipelekwa kwa Bibi yake aliyemzaa Baba lazima hyo siku au siku ya pili Bibi atazuga kumwogesha mtoto Na ndivyo atakavyomwona Kama ni wenu au mumepigwa?
 
Back
Top Bottom