Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Mtoto Kama ni wako Cha Kwanza huwa Ni pua, masikio, macho na kidevu Na pia kitu kingne Kama ni wa kiume mashine Kama wewe Ni kubwa mtoto pia atakuwa nayo kubwa and vice versa ndo maana mtoto akipelekwa kwa Bibi yake aliyemzaa Baba lazima hyo siku au siku ya pili Bibi atazuga kumwogesha mtoto Na ndivyo atakavyomwona Kama ni wenu au mumepigwa?Samahani mkuu naomba unisaidie unaangalia nn ili kujua mtt ni wako au umepigwa ikitokea hujafanana nae? Maana naona umelisema juu juu, utakua umenisaidia sana mkuu.