naomba nihifadhi tafadhaliBony Nikimtaja Nitapigwa Ban,
Uongo kabisa how comes upate mgeni tena first time usinzie umuache yupo macho?hii ni stori ya" kweli"(uongo)
Kwa mfano ungempiga sehemu mbaya akafa Leo ungekuwa wapi?Unasema kumpiga nimekosea?
nyinyi ndo mnaolea wezi,
Unatakiwa uwahi kumuua nyoka maana ukichelewa atakuuwa wewe...
Mjini hapa
alipewa kiwanja nje kidogo ya mbinguni.Au alishahama??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form four
Nimekumiss ujue, lazima nikupige 'sachi'.toka tuachie uongo
wanawake angalieni wanaume wa kuongea nao
Hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE
Acha tuawasachi tuHela aliondoka nazo kikwete siku izi ni mkopo mwanzo mwisho
Sa mbna umejitajaasinitaje tafadhali
Nijaribu mimi.mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikusubiri kwa hamu mkuu uje kuwatetea hapa maana kati ya watu walioifaidi jf we ni namba moja mkuuMbona wanawake wa jf ni waungwana sana? Wengi wao wanashughuli zao mbona? Nilikutana nao mimi ni watu wazuri sana tuuu
Nafikilia kutuma lile pangaboi moja la sizonje likulete kwangu shuniekuna nn uko pm ibra eb twende kule kwenye jukwaa letu ukatumalizie mambo yetu