TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Unasema kumpiga nimekosea?
nyinyi ndo mnaolea wezi,
Unatakiwa uwahi kumuua nyoka maana ukichelewa atakuuwa wewe...
Mjini hapa
Kwa mfano ungempiga sehemu mbaya akafa Leo ungekuwa wapi?
 
alipewa kiwanja nje kidogo ya mbinguni.

mkabala na jengo la malaika Gabriely.

kajenga nyumba yake pale.
Acha utani wewee,
Yesu tunamjua vizuri tu, Alisema anakwenda kuketi mkono wa kuume kwa baba yake,
 
Wanaume wa dar bana, yaani umetembelewa na mrembo halafu wewe unarara. Maama Chanja, nakuja mke wangu, wanaume wa dar ni burudani tosha, dume zima unarara wakati musichana yupo majicho.
Hahahaaaa bure kabisaaa.
 
Mbona wanawake wa jf ni waungwana sana? Wengi wao wanashughuli zao mbona? Nilikutana nao mimi ni watu wazuri sana tuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikusubiri kwa hamu mkuu uje kuwatetea hapa maana kati ya watu walioifaidi jf we ni namba moja mkuu
 
Back
Top Bottom