kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Huyu mtoto wa shule ana njozi za mchana tuRaha ya mwizi kupigwa tu STUNTER si umtaje tu
Mwalimu huwezi tenda hivyo na kijana wako wa shule. Acha utaninaomba nihifadhi tafadhali
Ahahhhahhhh sitaki tuma precisionNafikilia kutuma lile pangaboi moja la sizonje likulete kwangu shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa nini hukumpa hela
kwa hiyo wao kila muda wameketi tu.??Acha utani wewee,
Yesu tunamjua vizuri tu, Alisema anakwenda kuketi mkono wa kuume kwa baba yake,
Hapana bana,nasema tu ukweli.Ni wadada wazuri tuu,hawana tatizo kabisa wasisingiziwe kabisa .Vp bdo uko kule?[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikusubiri kwa hamu mkuu uje kuwatetea hapa maana kati ya watu walioifaidi jf we ni namba moja mkuu
Shunie anakutafuta mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikusubiri kwa hamu mkuu uje kuwatetea hapa maana kati ya watu walioifaidi jf we ni namba moja mkuu
unipige sachi kivipi jamaniNimekumiss ujue, lazima nikupige 'sachi'.
Kufanya kosa sio kosa, bali kurudia kosa,Inaonekana hujielewi kabisa, huku JF watu wanatumia majina fake na bado unawaamini?mbaya zaidi hujui tabia zake lakini unampeleka hadi kwako! Tena ingekua safi sana kama angekuibia kila kitu hadi nyeti zako ili ukiamka unakuta chini ya kitovu pako flati kama hukuzaliwa nayo tuone kama ungerudia upuuzi
mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
ungekuja kwanza pm huko nitakuja kesho na mzigo wotekuna nn uko pm ibra eb twende kule kwenye jukwaa letu ukatumalizie mambo yetu
ww shemej yangu wa faidaHata mimi shemej?
nakuja na uwe na ya maanaungekuja kwanza pm huko nitakuja kesho na mzigo wote
Okk nadhani kwa ueneaji huu wa samrt phone jf pia kuna watu wa kila namna ambao tunawaona mtaani tofauti tu ni kuwa humu wapo virtually. Kwa hivo ni kuwa makini kama ambavyo unakuwa makini na watu usiowajua unaokutana nao barabarani. Ila kumpiga ulikosea, ungefuata sheria tu.
Faida gani shemej? au Manfongo atuhusu nini shemej?ww shemej yangu wa faida
Ahahahahhh manfongo style shemejFaida gani shemej? au Manfongo atuhusu nini shemej?