TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Yani kupiga story tu ukasinsia? Hebu tulia umalizie pepa hizo.

Form 4 bhana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikusubiri kwa hamu mkuu uje kuwatetea hapa maana kati ya watu walioifaidi jf we ni namba moja mkuu
Hapana bana,nasema tu ukweli.Ni wadada wazuri tuu,hawana tatizo kabisa wasisingiziwe kabisa .Vp bdo uko kule?
 
Inaonekana hujielewi kabisa, huku JF watu wanatumia majina fake na bado unawaamini?mbaya zaidi hujui tabia zake lakini unampeleka hadi kwako! Tena ingekua safi sana kama angekuibia kila kitu hadi nyeti zako ili ukiamka unakuta chini ya kitovu pako flati kama hukuzaliwa nayo tuone kama ungerudia upuuzi
Kufanya kosa sio kosa, bali kurudia kosa,
so nimejifunza
 
Okk nadhani kwa ueneaji huu wa samrt phone jf pia kuna watu wa kila namna ambao tunawaona mtaani tofauti tu ni kuwa humu wapo virtually. Kwa hivo ni kuwa makini kama ambavyo unakuwa makini na watu usiowajua unaokutana nao barabarani. Ila kumpiga ulikosea, ungefuata sheria tu.

Hapo kuna kitu unaficha mkuu hii siyo story yote.
 
We jamaa una roho ngumu sana...yaani demu umemtoa mtandaoni unapata wapi ushujaa wa kumpeleka kwako unapoishi?
Ulipaswa kujiongeza kifikra aisee
 
Back
Top Bottom