Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

Tumieni brains! That's it.
Na waache kuwa machawa,wa watu bali ni bora kuwa chawa wa maendeleo ya mataifa yao kizalendo kweli kwa kujali maslahi ya taifa na wote kwa dhati.
 
wanaofikiri kwa ajili ya taifa wamegeuka chawa nao huwa hawana akili zaidi ya wizi na ulafi wa kumnyonya binadamu
Daah kwa Hali hiyo inamaana tupo Miles elf Moja kufikia sehemu ambayo hatuwezi kuathirika na matatizo ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…