tulimbutolwe
Member
- Mar 22, 2025
- 98
- 110
Tena kwa sana tu.Tufanye mapenzi
Tena kwa sana tu.Tufanye mapenzi
Remember you are an African too, do you still support Trump's unfortunate statements regarding African leaders, if you do then I suggest must be examined.Kwani uongo kuhusu wa African
Nasapoti 1000% kabisa ukicheki viongozi yalivyo majiziii wao na familia zao badala ya ustawi wa nchi kiujumlaRemember you are an African too, do you still support Trump's unfortunate statements regarding African leaders, if you do then I suggest must be examined.
Huyu alianza kwa kumdhalilisha Zelensky leo kapiga U-turn.Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
View attachment 3427590
Kwa moto wa nyuklia hakuna atakayepona! Hiyo inaitwa MUD: MUTUAL ASSURED DESTRUCTION!! Yaani uhakika wa kuangamia wote. Ndiyo maana ni kichaa tu anayeweza kutumia Bomu LA nyuklia kwa sasa!. Anayemiliki nyuklia huwezi kumshambulia kwa nyuklia vinginevyo na wewe umeridhia kuangamia! Ndiyo maana ni kichaa tu anayeweza kuridhia hilo. Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP!! Ndiyo maana PUTIN kadharau tishio hill na hana muda wa kuliongelea!! TRUMP ànajisikia kudhalilika kwa kupuuzwa tishio lake! Ila hana jinsi!! Hawezi kutekeleza tishio lake!Si hawataki Dunia ipoe, wapelekeane Moto tu. Atakaelegea aperish
na hii MIKOPO wanayotudai, tuombe tu wasipiganeHivi nini kifanyike ili wao wakipigana sisi kama afrika au Tanzania tusihathirike?
Labda tuachukulie hatua kali kwa kushikiliana na waganga pamoja na wachawi na si vinginevyo...Tanzania hatutokubali kuona Russia na US wanaiingiza dunia kwenye matatizo, tutachukua hatua kali dhidi yao.
Imewaingia mkuu ngoja tuwa zoom kwanza😎🧐Trump sio mropokaji?
Marekani ni kunguru tu alifinywa na Taliban kwa miaka 20 akakimbia kwa mwendo wa ngiri mkia juu... Juzi Tena Houth kazigonga Meli zao US wakakimbilia mezani kuomba msamaha ili Meli zisizamishweHii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
View attachment 3427590
Kwahiyo inaweza kuathiri kuongezeka kwa denina hii MIKOPO wanayotudai, tuombe tu wasipigane
Hivi watu mnapataga wapi nguvu ya kuipambanisha Russia na USA? Jimbo moja la USA ni pato la taifa zima la Russia.Babu amepaniki!
Amekutana na chizi mwenzake!!!
Sipati picha ikitokea Mungu akampenda zaidi Putin, halafu kijiti kikapokewa na Medvedev kwa mara nyingine.
Medvedev ni Moto mwingine ule 🔥🔥Babu amepaniki!
Amekutana na chizi mwenzake!!!
Sipati picha ikitokea Mungu akampenda zaidi Putin, halafu kijiti kikapokewa na Medvedev kwa mara nyingine.
JF ina mazuzu sana. Putin ni kiburi na kutamani kuona USSR ikirudi, aliichukua Crimea 2014 kwa sababu za kipuuzi kabisa.Crap from low mind. Putin anaua raia pale Kiev, kuna madini gani pale Kiev? Kweli nchi ina majuha wengi kuliko tunavyodhania.
Kama unampinga Trump kwa tamko lile basi wewe ndo wapaswa kufanyiwa vipimo vya akili.Remember you are an African too, do you still support Trump's unfortunate statements regarding African leaders, if you do then I suggest must be examined.
Tatizo lao kuu huwa hawajifunzi kutokana na historia yao ya kushindwa vita na Vinchi vidogo vidogo wanaishia kupata aibu majigambo yao notwithstanding!!Marekani ni kunguru tu alifinywa na Taliban kwa miaka 20 akakimbia kwa mwendo wa ngiri mkia juu... Juzi Tena Houth kazigonga Meli zao US wakakimbilia mezani kuomba msamaha ili Meli zisizamishwe