Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

Hivi watu mnapataga wapi nguvu ya kuipambanisha Russia na USA? Jimbo moja la USA ni pato la taifa zima la Russia.
Hayo kakwambia nani??We Taifa ambalo liko endowed na vast Natural resources kuliko Taifa lingine hapa Duniani useme ni maskini!!

Labda nikuhoji swali moja dogo,hivi VietNam ilipo pambana na kuishida Merikani unaweza kutueleza hapa GDP ya Vietnam ilikuwa ya kiwango gani kulinganisha na GDP ya Merikani ya wakati huo, sasa nini kilicho tokea mwisho wa siku?? Sina shaka jibu unalo. Labda sikuelewa vizuri, unaposema kupambanisha USA na Urusi una maana gani!! Kijeshi au kiuchumi??
 
Trump wa kwenye kampeni na huyu wa sasa ni watu yofauti sana, trump nilimuona tapeli baada ya interview na Joe rogan
 
Mikwara tu
Kwani Urusi imemfanya nini yeye mwenyewe au Merikani - hawezi kuwa anatukana tukana watu na kuwatisha tisha hasa viongozi, halafu akategemea kwamba baadhi ya wanaume wenye ujasiri watamlazia DAMU, sasa ameanza kupata cha moto analalamika lalamika, Trump ajifunze kuheshimu Viongozi wenzake naye ataheshimika.
 
Tukalime sana ngano kule Mbeya mpaka Manyara ili wakipigana tuwe supplier wa mgano kwa nchi zinazotegemea ngano kutoka Russia. Tutafaidika sana
Ngano na alzeti.
 
Back
Top Bottom