Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

Trump anachofanya ni kurudisha heshima ya Taifa la Marekani,ni kana kwamba Marekani ilianza kudharaulika Kwa baadhi ya mataifa wakiamini wanao uwezo kuwazidi Marekani !

Mfano mzuri tu,tunaona Taifa la Marekani lilikuwa msaada mkubwa ulimwenguni kupitia shirika la USAID ,lakini ajabu mataifa yaliyopokea misaada yaliungana na mataifa hasimu ya Marekani kutaka kuleta Nyodo na Ngebe !

Anachokifanya Trump Wala siyo Ujeuri,Bali anataka kuukumbusha Ulimwengu ya kwamba,Dunia inapaswa iitegemee Marekani,siyo Marekani kuitegemea Dunia
 
Urusi hatishiwi nyau maana hata yeye anazo hizo nyambizi za kinuklia muda wa kutishana haupo Tena. Putin endelea kumwaga moto hapo Kiev mpaka waombe poo
 
Dili la site ya madini ambayo Trump amesaini na Zelensiky, ambayo Kwa Sasa Putin amebeba tayari, Trump inamuuma sana amebaki kupaniki na kuwa kama jike la nguruwe lililo kwenye joto(siku hatari)
 
Huyu tramp dishi limeshayumba

La trump likiyumba, la kwako litakuwa limeoza.

Huyo Mendlev ni mshenzi hasa, aliishazitisha hata nchi za Ulaya eti Urusi ikielemewa kwenye vita itatumia silaha za nuclear. Na baada ya hapo Putin akatoa amri kikosi cha silaha za nuclear kianze mazoezi. Sasa ukiwa na akili timamu, wewe unayetishiwa utakaa kimya?
 
Dili la site ya madini ambayo Trump amesaini na Zelensiky, ambayo Kwa Sasa Putin amebeba tayari, Trump inamuuma sana amebaki kupaniki na kuwa kama jike la nguruwe lililo kwenye joto(siku hatari)


Crap from low mind. Putin anaua raia pale Kiev, kuna madini gani pale Kiev? Kweli nchi ina majuha wengi kuliko tunavyodhania.
 
Trump kachukia baada ya kujibiwa kwa dharau na kejeli na Medvedev...
Hio michezo haihitaji hasira...
Trump kazoea sana kudharau na kukashifu Viongozi na Mataifa dhaifu, yeye ni mfanya biashara kwanza, naona mambo ya siasa na diplomasia na historia vimemkaa mbali kidogo, yaani mtu unaona wazi wazi kwamba Mededev ni mtu aliye kwenda shule na anajua mambo mengi, huyu ndiye umjulia Trump wapi pakumu corner, mpaka Trump anashikwa hasira za mkizi kasahau kabisa kwamba yeye ndiye aliye anzisha malumbano haya yasiyo na
tija!! Eti - tayalisheni Nuclear
Submarine mbili just in case, Trump na wapambe wake wanasahau kwamba Russia ina Nuclear powered Submarine chungu nzima kwenye Bahari za Pacific na Atlantic who knows labda nyingine zipo Gulf of
Mexico!!

Kuna msemaji WA jeshi LA Urusi alimkumbusha Trump kwamba Urusi ina very powerful and capable nuclear weapons kwenye Submarine zake, hawawezi kutishwa na a couple of US Submarine ambazo zinakuwa tracked in real time, ie hivyo zinajulikana ziko wapi muda wote.
 
At least anaongea fact kuliko trump
Oh yes,Trump ni mropokaji sana na hasiye jali feeling za watu, we mtu na akili zake timamu anadiriki kutamuka kwamba Viongozi wa Africa ni Ass hole na Africa badala ya kumshutumu tuna mshangilia tu kama mazezeta!! Kisa hasije akatukatia msaada WA USAID,hii kama siyo akili matope tuiiteje.
 
Si alichokoza mwenyewe kwa kuweka siku 12
Trump anajiona kuwa amedhalilika. Aliweka deadline ya Siku 50 ili urusi ifikie makubaliano na Ukraine ya kuacha vita, ila akaona hakuna dalili ya urusi kutishika! Kisha akapunguza siku hadi 10 lakini akaona hakuna dalili ya urusi kutishika badala yake akaambiwa urusi siyo kama Iran au Israel ambako alifanikiwa kuwaamuru waache vita!
Kwa hiyo mwisho wa Siku ameamua kutumia kitisho chake cha mwisho cha kutishia mabomu ya nyuklia ambacho anaamini urusi itanywea na kitamwibua Putin! Kitisho hicho nacho kimegonga mwamba na Putin kamnyamazia kwa kumpuuza! Trump alitegemea Putin atavunja ukimya na kuibuka baada ya tishio la nyuklia. Hill limemchanganya sana Trump kuona Putin kapuuza vitisho vyake! Putin is the only adult in the room!
 
Oh yes,Trump ni mropokaji sana na hasiye jali feeling za watu, we mtu na akili zake timamu anadiriki kutamuka kwamba Viongozi wa Africa ni Ass hole na Africa badala ya kumshutumu tuna mshangilia tu kama mazezeta!! Kisa hasije akatukatia msaada WA USAID,hii kama siyo akili matope tuiiteje.
Kwani uongo kuhusu wa African
 
Trump anajiona kuwa amedhalilika. Aliweka deadline ya Siku 50 ili urusi ifikie makubaliano na Ukraine ya kuacha vita, ila akaona hakuna dalili ya urusi kutishika! Kisha akapunguza siku hadi 10 lakini akaona hakuna dalili ya urusi kutishika badala yake akaambiwa urusi siyo kama Iran au Israel ambako alifanikiwa kuwaamuru waache vita!
Kwa hiyo mwisho wa Siku ameamua kutumia kitisho chake cha mwisho cha kutishia mabomu ya nyuklia ambacho anaamini urusi itanywea na kitamwibua Putin! Kitisho hicho nacho kimegonga mwamba na Putin kamnyamazia kwa kumpuuza! Trump alitegemea Putin atavunja ukimya na kuibuka baada ya tishio la nyuklia. Hill limemchanganya sana Trump kuona Putin kapuuza vitisho vyake! Putin is the only adult in the room!
Si hawataki Dunia ipoe, wapelekeane Moto tu. Atakaelegea aperish
 
Back
Top Bottom