Dunia!?Dunia inapaswa iitegemee Marekani,siyo Marekani kuitegemea Dunia
Trump sio mropokaji?Dmitry Medvedev ni mropokaji sana.Hana tofauti na yule mtoto wa Museven,huwa wanaongea upuuzi tu!
Huyu tramp dishi limeshayumba
Dili la site ya madini ambayo Trump amesaini na Zelensiky, ambayo Kwa Sasa Putin amebeba tayari, Trump inamuuma sana amebaki kupaniki na kuwa kama jike la nguruwe lililo kwenye joto(siku hatari)
At least anaongea fact kuliko trumpDmitry Medvedev ni mropokaji sana.Hana tofauti na yule mtoto wa Museven,huwa wanaongea upuuzi tu!
Trump kazoea sana kudharau na kukashifu Viongozi na Mataifa dhaifu, yeye ni mfanya biashara kwanza, naona mambo ya siasa na diplomasia na historia vimemkaa mbali kidogo, yaani mtu unaona wazi wazi kwamba Mededev ni mtu aliye kwenda shule na anajua mambo mengi, huyu ndiye umjulia Trump wapi pakumu corner, mpaka Trump anashikwa hasira za mkizi kasahau kabisa kwamba yeye ndiye aliye anzisha malumbano haya yasiyo naTrump kachukia baada ya kujibiwa kwa dharau na kejeli na Medvedev...
Hio michezo haihitaji hasira...
Trump hana lolote.Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
View attachment 3427590
Si alichokoza mwenyewe kwa kuweka siku 12Trump kachukia baada ya kujibiwa kwa dharau na kejeli na Medvedev...
Hio michezo haihitaji hasira...
Oh yes,Trump ni mropokaji sana na hasiye jali feeling za watu, we mtu na akili zake timamu anadiriki kutamuka kwamba Viongozi wa Africa ni Ass hole na Africa badala ya kumshutumu tuna mshangilia tu kama mazezeta!! Kisa hasije akatukatia msaada WA USAID,hii kama siyo akili matope tuiiteje.At least anaongea fact kuliko trump
Trump anajiona kuwa amedhalilika. Aliweka deadline ya Siku 50 ili urusi ifikie makubaliano na Ukraine ya kuacha vita, ila akaona hakuna dalili ya urusi kutishika! Kisha akapunguza siku hadi 10 lakini akaona hakuna dalili ya urusi kutishika badala yake akaambiwa urusi siyo kama Iran au Israel ambako alifanikiwa kuwaamuru waache vita!Si alichokoza mwenyewe kwa kuweka siku 12
Kwani uongo kuhusu wa AfricanOh yes,Trump ni mropokaji sana na hasiye jali feeling za watu, we mtu na akili zake timamu anadiriki kutamuka kwamba Viongozi wa Africa ni Ass hole na Africa badala ya kumshutumu tuna mshangilia tu kama mazezeta!! Kisa hasije akatukatia msaada WA USAID,hii kama siyo akili matope tuiiteje.
Si hawataki Dunia ipoe, wapelekeane Moto tu. Atakaelegea aperishTrump anajiona kuwa amedhalilika. Aliweka deadline ya Siku 50 ili urusi ifikie makubaliano na Ukraine ya kuacha vita, ila akaona hakuna dalili ya urusi kutishika! Kisha akapunguza siku hadi 10 lakini akaona hakuna dalili ya urusi kutishika badala yake akaambiwa urusi siyo kama Iran au Israel ambako alifanikiwa kuwaamuru waache vita!
Kwa hiyo mwisho wa Siku ameamua kutumia kitisho chake cha mwisho cha kutishia mabomu ya nyuklia ambacho anaamini urusi itanywea na kitamwibua Putin! Kitisho hicho nacho kimegonga mwamba na Putin kamnyamazia kwa kumpuuza! Trump alitegemea Putin atavunja ukimya na kuibuka baada ya tishio la nyuklia. Hill limemchanganya sana Trump kuona Putin kapuuza vitisho vyake! Putin is the only adult in the room!