Trump aiambia Russia ichague mazungumzo na Ukraine au vikwazo zaidi hadi ifilisike kabisa

Usa amflisi mrusi kwa vikwazo?!!
Hujui kuwa miaka ya 1990, Urusi ilifilisika kabisa, ikabidi iiangukie USAna Ulaya, hadi kusaidiwa pesa taslim?

Over the past two decades, USAID has provided assistance that has helped the Russian people improve public health and combat infectious diseases, protect the environment, develop a stronger civil society, and modernize their economy.
 
Over the past two decades, USAID has provided assistance that has helped the Russian people improve public health and combat infectious diseases, protect the environment, develop a stronger civil society, and modernize their eco
 
Hujui kuwa miaka ya 1990, Urusi ilifilisika kabisa, ikabidi iiangukie USAna Ulaya, hadi kusaidiwa pesa taslim?

Over the past two decades, USAID has provided assistance that has helped the Russian people improve public health and combat infectious diseases, protect the environment, develop a stronger civil society, and modernize their economy.
😂😂😂😂😂 Usaid iko had Moscow?!! Hii Rusia ambayo imekuja na cure ya kansa afu leo isaidiwe na marekani ambayo haijui hyo kinga ya kansa!!!Bro unanichukuliaje asee?!!
 
Hivyo hivyo vichache vilivyo baki anakazia pia kingine anaweza ongeza kuwapa Ukraine silaha zaidi za kisasa kwa ajili ya kuwatia hasara Urusi kama ambavyo kwasasa unasikia wanapiga tu ndani mule Urusi, maana kenge hawezi kuona kaumia mpaka aone damu
Mkuu unaongea kwa hisia zaidi na sio uhalisia.
 
Mkuu unaongea kwa hisia raiding na sio uhalisia.
Hapana ni suala la Putin kusuka au kunyoa, kisha tutajua Trump alimaanisha nini

1A2FEAAE-0042-4D59-8B8F-2CA72A13E3CE.png
 
Urusi ameathirika sana wewe unafikiri pesa yote ile anayo peleka jeshini ingekuwa inakwenda kwenye maendeleo wange sogea kwa kiasi gani? watu wanajua uchumi wa Urusi uko vibaya sio ule wa kabla ya vita , sasa ameshapewa OFA ni yeye Putin kusuka au kunyoa , iran uchumi wake sio mzuri ndio maana hakuwa na msaada kwa Assad kipindi hiki, huyo North Korea ndio hamna kitu anapeleka wanajeshi wake kufa Urusi ili apate msaada

View attachment 3210677
Hayo yote unayo sema Urusi ingekuwa inayaogopa singer fikiria hata kuivamia Ukraine.
 
Mkuu ile operation Urusi hakutegemea kufika huu mwaka wa 3 , anachopoteza anakijua, mtu mpaka anakwenda kuazima wanajeshi North Korea wewe unafikiri ni kawaida? Trump ni muungwana sana Kampa OFA ya kiutu uzima tusubiri tuone atapokea vip OFA
 
Hapana ni suala la Putin kusuka au kunyoa, kisha tutajua Trump alimaanisha nini

View attachment 3210725
Tatizo sio Trump kusema tatizo ni utekelezaji wa hayo anayo yasema na yatabadilisha nini.
Marekani wenyewe vikwazo walivyo viweka hawazitekelezi bali vime baki kwenye makaratasi ,mfano imeweka vikwazo vya mafuta ya Urusi lakini cha kushangaza Mpaka sasa bado ananunua makuta mengi kutoka Urusi kuzidi hata kabla ya vita.
 
Kuna namna huwezi kui cripple Russia kwa level ya mleta mada unavyoeleza sababu sio tu ya geographical position, bali kwenye umuhimu wa rasimali alizonazo, na side effect kwa U.S na west economy and sustainability.
Alafu kuibana sana maana yake unaathiri washirika wako, hali itakayopelekea kuongezeka kwa mpasuko baina ya EU member, kitu ambacho nacho U.S hapendelei

Kama issue ya Oil, Biden aliweka wiki tatu zilizopita kabla ya ku retire
Kama Iran ameweza ku sustain sidhani kama Urusi atashindwa
 
Mkuu ile operation Urusi hakutegemea kufika huu mwaka wa 3 , anachopoteza anakijua, mtu mpaka anakwenda kuazima wanajeshi North Korea wewe unafikiri ni kawaida? Trump ni muungwana sana Kampa OFA ya kiutu uzima tusubiri tuone atapokea vip OFA
Kwanza unajua ardhi ambayo urusi ameiteka kutoka Ukraine ina thamani kiasi gani?

Ofa ingekuwa ni ukikubali kusitisha vita nitakuondolea vikwazo nilivyo kuwekea hapo ningekuelewa , lakini hii ofa ya sitisha vita nisikuongezee vikwazo ni kichekesho kwasababu mpaka sasa urusi ana vikwazo zaidi ya 12000 na havijaonesha kumuyumbisha.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa vita ikiisha kwa mazungumzo ni faida kwa Marekani kimkakati kwa sababu itaonekana vita imeisha kwa mazungumzo.
Lakini iwapo vita itaisha kwa urusi kutimiza malengo yake itakuwa ni kushindwa kwa Marekani na Nato nzima hivyo kutashusha heshima yao ulimwenguni.
 
Kama isipoangalia kiyama zaidi inainyemelea tena taifa la Russia endapo haitakuwa tayari kufanya mazungumzo ya amani na yasiyo na masharti kufuatia kuingia madarakani kwa uongozi wa rais mpya wa Marekani Bwana Donald Trump.

wewe humjui putin na wala huijui urusi,trump hana uwezo wa kumzidi kete putin,ujue sio kwamba anataka vita bali ni nchi za ulaya na ukraine ndio zimeleta hiyo vita na putin anataka amani hata leo lakini kwa masharti
 
Tatizo sio Trump kusema tatizo ni utekelezaji wa hayo anayo yasema na yatabadilisha nini.
Marekani wenyewe vikwazo walivyo viweka hawazitekelezi bali vime baki kwenye makaratasi ,mfano imeweka vikwazo vya mafuta ya Urusi lakini cha kushangaza Mpaka sasa bado ananunua makuta mengi kutoka Urusi kuzidi hata kabla ya vita.
Sasa utekelezaji wa kauli ya Trump unabaki kwa Urusi na Ukraine mazungumzo yao ya kumaliza vita, baada ya hapo tutajua Trump ni mtu wa namna gani
 
Kwanza unajua ardhi ambayo urusi ameiteka kutoka Ukraine ina thamani kiasi gani?

Ofa ingekuwa ni ukikubali kusitisha vita nitakuondolea vikwazo nilivyo kuwekea hapo ningekuelewa , lakini hii ofa ya sitisha vita nisikuongezee vikwazo ni kichekesho kwasababu mpaka sasa urusi ana vikwazo zaidi ya 12000 na havijaonesha kumuyumbisha.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa vita ikiisha kwa mazungumzo ni faida kwa Marekani kimkakati kwa sababu itaonekana vita imeisha kwa mazungumzo.
Lakini iwapo vita itaisha kwa urusi kutimiza malengo yake itakuwa ni kushindwa kwa Marekani na Nato nzima hivyo kutashusha heshima yao ulimwenguni.
Thamani haina tija kwasasa, tuna zungumzia OFA ya Trump kwa Putin imesha wekwa mezani, akitaka asuke au anyoe lakini Trump amesha sema nini kitafata akisuka na nini kitafata akinyoa, Urusi hii ya sasa sio ile ya kabla ya vita, Trump anajua hilo kazi kwa Putin sasa na Zelensky kukubaliana
 
Trump anamwambia Putin kukomesha 'vita vya kejeli' nchini Ukraine au atakabiliwa na vikwazo vipya.

Rais Donald Trump ameonya kuwa ataiwekea Urusi ushuru wa juu na vikwazo zaidi iwapo Vladimir Putin atashindwa kumaliza vita nchini Ukraine.

Akiandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social, alisema kuwa kwa kushinikiza kusuluhisha vita alikuwa akiifanyia Urusi na rais wake "neema kubwa sana".

Trump tells Putin to end 'ridiculous war' in Ukraine or face new sanctions
 
Hiyo tafsiri yako sijaikubali, kwamba "ridiculous war" ni "vita vya kejeli"?! Ningesema "vita ya kipuuzi"
 
Back
Top Bottom