mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Iran sasahivi ndio mbabe mashariki ya kati, na anaendelea kutisha mno.Umesema vikwanzo vimedunda iran na north korea? Rudi kasome tena, huna idea nini inasema
Rais mpya wa iran alipoingia madarakani moja ya sera zake ni kuongoea na mataifa ya ulaya kulege,a vikwazo. Uchumi wao hauleweki sababu ya vikwazo
North korea ndio kabisa, is why bado wako nyuma sana kiuchumi, vikwazo
Shukuru Mungu uko bongo land hamna kitu kama hiko
Wakati vita ya Russia na ukraine zinaanza media za magharibi zilituaminisha Russia hawezi kutoboa miezi mitatu kwa vikwazo vilivyowekwa. Leo ni maka mingapi?