Trump aiambia Russia ichague mazungumzo na Ukraine au vikwazo zaidi hadi ifilisike kabisa

Trump aiambia Russia ichague mazungumzo na Ukraine au vikwazo zaidi hadi ifilisike kabisa

Vikwazo vipi hivyo ambavyo vitamfanya putin agwaye?

Nadhani hata vita hii ikimalizwa bado advantage itakuwa kwa urusi kwasababu putin hawezi kukubali kuyaachia maeneo ya ukraine aliyoyashikilia.

Kwahiyo bwana mdogo zele inabidi awasilikize mabwana wakubwa trump na mwamba putin so inabidi dogo zele amuachie brother ake putin maeneo wayamalize.

Kinyume na hapo mabomu mapya yatahusika kumlazimisha ng'ombe wa kinazi dogo zele anywe maji kwa lazima.
 
Ni malezi aliyopitia tangu utotoni. Ilikuwa akiitwa na Mama yake lazima TUSI litangulie kwanza ndipo aitike. Yaani ni aini ya wale watoto ukiuliza Baba yupo wapi naye anajibu " Kaenda chooni kunya".
Hahaha, umenikumbusha miaka ya nyuma nipo kijiji fulani hivi pembezoni mwa jiji, sasa njaa inauma hakuna sehemu ya maana ya kula zaidi ya vimigahawa tu.

Nikaingia sehemu moja nimeona jiko nje na tuchips chips nikakutana na katoto ka kiisilamu nikakauliza chakula kakanieleza kwa ufasaha alipo baba yake nimsubiri amalize aje anihudumie.
 
Screenshot_20250123-095909.png
 
Kwa hiyo ni nchi za Ulaya ndio zilivamia Ukraine..!!😲😲
nchi za ulaya zilianza kampeni ya kichochezi kichukua ukraine kuwa mwananachama wa nato,kitendo hicho ni cha uchokozinkwa mujibu wa putin,na ulaya walikuwa wanatafuta njia ya kuimaliza urusi ndipo putin kuamua kupigana hiyo vita
 
Kitu ambacho jihadists wengi humu hawaelewi ni kwamba Russia kila siku inahangaika sana iondolewe vikwazo na hata hizo nchi wanazosema za Iran na Korea Kaskazini ziko hoi mno kiuchumi na isingekuwa vikwazo walivyowekewa wasingekuwa hivyo walivyo leo.

Ukijaribu kulinganisha Korea zote mbili tofauti ni kama usiku na mchana, watu wa Korea Kaskazini ndio kila siku wanakimbilia Korea Kusini lakini kamwe huwezi kuona kinyume chake.
 
Vituko vingine bwana yaani aliyewekwa madarakani na invisible government kweye taifa lake. Ndio anampiga biti mwenzie mwenye mamlaka yote ya taifa lake.
 
Mwanzo hakuelewa ila tokea Nov 5 kaelewa kila kitu.

Kwa sasa Ukraine kaachiwa afanye atakalo ili Urusi ikubali mazungumzo ya kusitisha vita.

Fatilia ukubwa wa uharibifu wa vichakata mafuta vya Urusi utagundua anapewa data na Marekani.
 
Back
Top Bottom