Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Says who?Ni wakati sahihi wa Putin kuacha mara moja vita visivyo na miguu wala kichwa
Kwa hiyo ni nchi za Ulaya ndio zilivamia Ukraine..!!😲😲wewe humjui putin na wala huijui urusi,trump hana uwezo wa kumzidi kete putin,ujue sio kwamba anataka vita bali ni nchi za ulaya na ukraine ndio zimeleta hiyo vita na putin anataka amani hata leo lakini kwa masharti
Hahaha, umenikumbusha miaka ya nyuma nipo kijiji fulani hivi pembezoni mwa jiji, sasa njaa inauma hakuna sehemu ya maana ya kula zaidi ya vimigahawa tu.Ni malezi aliyopitia tangu utotoni. Ilikuwa akiitwa na Mama yake lazima TUSI litangulie kwanza ndipo aitike. Yaani ni aini ya wale watoto ukiuliza Baba yupo wapi naye anajibu " Kaenda chooni kunya".
Kila siku tunasikia Urusi anawekewa vikwazo na Marekani na Ulaya na bado yuko vizuri tu! Atakuja vikwazo vipya labda!Usa amflisi mrusi kwa vikwazo?!!
nchi za ulaya zilianza kampeni ya kichochezi kichukua ukraine kuwa mwananachama wa nato,kitendo hicho ni cha uchokozinkwa mujibu wa putin,na ulaya walikuwa wanatafuta njia ya kuimaliza urusi ndipo putin kuamua kupigana hiyo vitaKwa hiyo ni nchi za Ulaya ndio zilivamia Ukraine..!!😲😲
Watoto wazinaa haoNi malezi aliyopitia tangu utotoni. Ilikuwa akiitwa na Mama yake lazima TUSI litangulie kwanza ndipo aitike. Yaani ni aini ya wale watoto ukiuliza Baba yupo wapi naye anajibu " Kaenda chooni kunya".
We ni km kima au tumbili mbele ya MAREKANIKwa sasa Marekani anaweza kuweka vikwazo vip vitakavyo ifanya Urusi iogope?
Labda angesema kuwa ataivamia hapo kidogo maneno yange kuwa na uzito kidogo na sio hizo tumba za vikwazo.
Hizi ni bangi.Vituko vingine bwana yaani aliyewekwa madarakani na invisible government kweye taifa lake. Ndio anampiga biti mwenzie mwenye mamlaka yote ya taifa lake.
Mmarekani mwenyewe anamtegemea mrusi ,asijukute mbabeAkitaka asuke au anyoe, Trump amemaliza