Umesema vikwanzo vimedunda iran na north korea? Rudi kasome tena, huna idea nini inasema
Rais mpya wa iran alipoingia madarakani moja ya sera zake ni kuongoea na mataifa ya ulaya kulege,a vikwazo. Uchumi wao hauleweki sababu ya vikwazo
North korea ndio kabisa, is why bado wako nyuma sana kiuchumi, vikwazo
Shukuru Mungu uko bongo land hamna kitu kama hiko