Jifurahisheni wakanisa ila Israel kasaidiwa na nchi za Europe kupitisha maboom na vifaa vya kutengeneza drones walijiandaa miaka 29 kwa kutumia Wairan wenye asili ya kiyahudi, wapinzani afu.mnajisfia katika kauwa mageneral tena walikuwa wanajua bado wako na maongezu na US. Ealijua hakuna kitakacho tokea wako kwenye meeting mkatuma watu wenu kuwauwa kwa kutumia hizo drones na Israel fighters jet zilingia bada ya hao kuharibu mitambo ya Air defense system afu mnajusufia hahaha. Kuwauwa nuclear Scientist wako na family zao ndio mnajiona.wababe, wakati huko Israel Iran kavunja kila kitu hahaha viwanda, research, base kila kinacho husiana na mambo ya jeshi na intelligence kapiga.