Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
⚡️🇺🇸🇮🇱IYamit Malul Yanai kutoka Chuo Kikuu cha Tel Aviv aliambia kituo cha i24:
Trump, ambaye alitarajiwa kutenda kwa nguvu na ujasiri kama simba, alionekana kama paka wa nyumbani.
Angeweza kufanya kazi kwa njia fulani kuhakikisha kuachiliwa kwa kila mtu, lakini alivunja ahadi yake ambayo alitangaza kuwa angeleta kuzimu huko Gaza.
Teh teh teh Trump muhuni sana😂
Hivi Hamas na Hezbollah bado wapo? Nawasikia wale wa Yemen tu.
Hawa wengine wamekuwa key board warriors kama kina sisi huku Tanzania
Kama Hamas hawapo,Israel anaingia makubaliano ya kusitisha vita na kina nani?Hivi Hamas na Hezbollah bado wapo? Nawasikia wale wa Yemen tu.
Hawa wengine wamekuwa key board warriors kama kina sisi huku Tanzania
Trump ni rogi sana afu ana invest nchi za kiarabu kuliko Israel.⚡️🇺🇸🇮🇱IYamit Malul Yanai kutoka Chuo Kikuu cha Tel Aviv aliambia kituo cha i24:
Trump, ambaye alitarajiwa kutenda kwa nguvu na ujasiri kama simba, alionekana kama paka wa nyumbani.
Angeweza kufanya kazi kwa njia fulani kuhakikisha kuachiliwa kwa kila mtu, lakini alivunja ahadi yake ambayo alitangaza kuwa angeleta kuzimu huko Gaza.
Teh teh teh Trump muhuni sana😂
Siwezi kutafiti mkuu halafu shida iko hapo don't take it personalWewe ambae hujaweka nguvu zako kwenye kuitafiti hiyo Vita,ziko wapi hizo Tesla na Toyota hybrid zako ulizotafiti?
Yahudi tena duuhYahudi jeusi la Makete limechafukwa😂
⚡️⭕️ Trump alihusika katika shinikizo kwa NetanyahuJamaa huwa una tuhadithi murua sana.Lete ingine maalim!😂😂😂😂🙏
Wewe poyoyo hujawahi kucomment cha maana humu,sijaona mchango wowote uliouweka hapa,Mkianza hayo maneno mnaonesha mlivyo wapuuzi.Halafu huyo mwingine nimemblock.Analazimisha kukomenti kwangu?Bloody terrorists ninyi.Kufa kijinga ni haki yenu ya msingi.
Alitaja Hamas.wazi na akawalaumu kwa tukio lao la kigaidi la 7 October kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yote hayo.Kwa kweli alisema, "Kuzimu kutafunguka katika Mashariki ya Kati." Hakutaja Gaza. Trump pekee ndiye anajua alichomaanisha kweli. Labda alikuwa anapendekeza kwamba angefanya jambo fulani kwa Netanyahu na Israël kwa vile wako mashariki ya kati pia.
😂
Alitaja Hamas.wazi na akawalaumu kwa tukio lao la kigaidi la 7 October kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yote hayo.
Wee maamuma unapenda kupindisha ukweli wa mambo.
Badala ya kuweka clip za mhusika mwenyewe Trump unakuja na tweets za propaganda.
Msikie Trump hapa...
👇
View: https://youtube.com/shorts/NoP1jnLoY6k?si=ST_cb9FrQl7x5FeN
Wee SHOGA Og usinilishe maneno 🚮Wewe shoga mweusi hujui lolote vita vya Gaza vimeanza Oct 7?