โก๏ธ๐บ๐ธ๐ฎ๐ฑIYamit Malul Yanai kutoka Chuo Kikuu cha Tel Aviv aliambia kituo cha i24:
Trump, ambaye alitarajiwa kutenda kwa nguvu na ujasiri kama simba, alionekana kama paka wa nyumbani.
Angeweza kufanya kazi kwa njia fulani kuhakikisha kuachiliwa kwa kila mtu, lakini alivunja ahadi yake ambayo alitangaza kuwa angeleta kuzimu huko Gaza.
Teh teh teh Trump muhuni sana๐
Hivi Hamas na Hezbollah bado wapo? Nawasikia wale wa Yemen tu.
Hawa wengine wamekuwa key board warriors kama kina sisi huku Tanzania
Kama Hamas hawapo,Israel anaingia makubaliano ya kusitisha vita na kina nani?Hivi Hamas na Hezbollah bado wapo? Nawasikia wale wa Yemen tu.
Hawa wengine wamekuwa key board warriors kama kina sisi huku Tanzania
Trump ni rogi sana afu ana invest nchi za kiarabu kuliko Israel.โก๏ธ๐บ๐ธ๐ฎ๐ฑIYamit Malul Yanai kutoka Chuo Kikuu cha Tel Aviv aliambia kituo cha i24:
Trump, ambaye alitarajiwa kutenda kwa nguvu na ujasiri kama simba, alionekana kama paka wa nyumbani.
Angeweza kufanya kazi kwa njia fulani kuhakikisha kuachiliwa kwa kila mtu, lakini alivunja ahadi yake ambayo alitangaza kuwa angeleta kuzimu huko Gaza.
Teh teh teh Trump muhuni sana๐
Siwezi kutafiti mkuu halafu shida iko hapo don't take it personalWewe ambae hujaweka nguvu zako kwenye kuitafiti hiyo Vita,ziko wapi hizo Tesla na Toyota hybrid zako ulizotafiti?
Yahudi tena duuhYahudi jeusi la Makete limechafukwa๐
โก๏ธโญ๏ธ Trump alihusika katika shinikizo kwa NetanyahuJamaa huwa una tuhadithi murua sana.Lete ingine maalim!๐๐๐๐๐
Wewe poyoyo hujawahi kucomment cha maana humu,sijaona mchango wowote uliouweka hapa,Mkianza hayo maneno mnaonesha mlivyo wapuuzi.Halafu huyo mwingine nimemblock.Analazimisha kukomenti kwangu?Bloody terrorists ninyi.Kufa kijinga ni haki yenu ya msingi.
Alitaja Hamas.wazi na akawalaumu kwa tukio lao la kigaidi la 7 October kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yote hayo.Kwa kweli alisema, "Kuzimu kutafunguka katika Mashariki ya Kati." Hakutaja Gaza. Trump pekee ndiye anajua alichomaanisha kweli. Labda alikuwa anapendekeza kwamba angefanya jambo fulani kwa Netanyahu na Israรซl kwa vile wako mashariki ya kati pia.
๐
Wewe shoga mweusi hujui lolote vita vya Gaza vimeanza Oct 7?Alitaja Hamas.wazi na akawalaumu kwa tukio lao la kigaidi la 7 October kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yote hayo.
Wee maamuma unapenda kupindisha ukweli wa mambo.
Badala ya kuweka clip za mhusika mwenyewe Trump unakuja na tweets za propaganda.
Msikie Trump hapa...
๐
View: https://youtube.com/shorts/NoP1jnLoY6k?si=ST_cb9FrQl7x5FeN
Wee SHOGA Og usinilishe maneno ๐ฎWewe shoga mweusi hujui lolote vita vya Gaza vimeanza Oct 7?