Trump aliingilia kati kwa nguvu ili kumaliza vita Gaza na kuwambia Israel hamuwezi kuwamaliza Hamas, tuwarudishe mateka nyumbani

halafu kuna wapuuzi kutoka mwanarumango wanakwambia Rais wa Marekani ndiye rais wa dunia, ndio maana Trump kamaliza vita haraka. Sasa Biden mbona alishindwa? au yeye alikuwa raisi wa Djibouti???
 
Jamaa huwa una tuhadithi murua sana.Lete ingine maalim!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™
Nyengine utapigiwa na mchungaji jumapili hiii ww mwandalie Sadaka yake tu utaimbiwa nyimbi pedwa kwako waisrael awashindiki waisrael wanaweza piga Dunia Dunia yote ipo mikononi mwa Israel simu zote zao Computer zao pesa zao na mengine muimu tu usisau kubeba Sadaka yko Kama mchungaji anakufuraisha vip asipate maji yakunywa!!!!
 
Po
Wewe ni kajinga fulani unayejifurahisha kwa nyuzi za kipuuzi na nukuu ndefundefu wakati wajinga wenzako wanakufa kama mbuzimawe.Msalimie Nasralah bogus!
Poleeee umechafukwa kujua Israel kumbe mdebwedo tu kwa Hamas kufa raia wengi sio kushinda vita Vietnam raia milion3 walikufa lkn bado walishinda vita kufa wapalestina 46000 akuondoshi ushindi wa HAMAS NA wapalestina waisrael wangapi wamekufa Netanyahu akisema aongei na Magaid sasa kipo wapi kaumbuka tangu mwanzo Hamas wakimwambia sisi atutaki vita sisi tunataka tu wafungwa wetu waliojela zenu muwaachie nasisi tuwapa mateka wenu wote Netanyahu akachagua Vita IDF wamekufa wengi uchumi umesinyaaa maduka mengi mijin yamefungwa watu wamekimbia leo Netanyahu anatafutwa na ICC sasa ndio kaelewa soma la Hamas achia wafungwa wangu nmm naachia wafungwa wako wapalestina wanaoshikiliwa uko Israel awana kosa lolote ni sawa tu tukiwaita mateka kama awa waisrael
 
Hivi Hamas na Hezbollah bado wapo? Nawasikia wale wa Yemen tu.

Hawa wengine wamekuwa key board warriors kama kina sisi huku Tanzania
Muulize Netanyahu kwanini alifunga mkataba na hezbollah ndiomana sasa wamenyuti Hamas ndio ao Netanyahu katema Bungo uko uku ICC wanamtafuta!!
 
halafu kuna wapuuzi kutoka mwanarumango wanakwambia Rais wa Marekani ndiye rais wa dunia, ndio maana Trump kamaliza vita haraka. Sasa Biden mbona alishindwa? au yeye alikuwa raisi wa Djibouti???
Tramp ndio keshokutwa ndio anaapishwa kuwa rais wa marekani ivo yeye lazima kabla Israel ajasitisha vita aseme mtazamo wake sasa nayeye kaafiki uwo upango wa mtangulizi wake ivyo Netanyahu awezi tena kudandia tawi lengine zaid ya kula matapishi yake kwa asala kubwa kawaingiza kwenye vita ambavo awakushinda zaid ya kupoteza vijana wengi vitani kupata ulemavu wa kudumu uchumi umesinyaa biashara zawatu wengi zimekufa mwisho ndio ivo kafata yaleyale Hamas walitaka kabla ya hii vita!!!! Aibu kubwa kwa Israel ICC inawasaka daaaaa wachungaji jumamosi hii na jumapili watuombee tu yanga na simba tushinde match zetu waachane na Israel!!!!!!
 
Bora cease fire.
 
Uyu ITAMAR kiongozi kama uyu wamchague awe PM waone watavyolimia meno pamoja Palestina na wao waisrael uyu alitakiwa awe kiongozi wa Dini lkn sio mwanasiasa tatizo ktk uchaguzi Netanyahu alibanwa kende sana ikabidi atafute washilika ilo aunde serikali sasa kajizolea tu vyama vidogo.
 
Muulize Netanyahu kwanini alifunga mkataba na hezbollah ndiomana sasa wamenyuti Hamas ndio ao Netanyahu katema Bungo uko uku ICC wanamtafuta
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช Update: Massive explosions reported in Jerusalem, West Bank settlements, Tel Aviv, Ramla, and Lod following the launch of Yemeni missiles.

๐Ÿ”น@enemywatch
 
Hivi kumbe na Hamas walikuwa bado wana nguvu hadi makubariano yamefikiwa,hii vita imetuonyesha ubora na udhaifu wa Israel, kuanzia Leo sitasimulia tena story ya Israel kuzipiga nchi za kiarabu kwa siku sita kumbe aliefanya hivyo ni US kwa jina la ISRAEL
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Ila kobaz wajinga sana aisee!..

Yani kupigika kote kule kwa hamas na Gaza ila mtu bado anaona Israel kaishiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ