Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Hizo ndizo fikra potofu za Wafuga Midevu na Majini imekuwa kawaida yao na wao wanaita Taqiya. Imekuwa kawaida yao kuichokoza Israel na wanapopigwa kwenye uwanja wa vita daima hawakosi visingizio na mara zote husingizia Marekani na nchi zingine za Magharibi yote haya ni kuficha aibu yao kupigwa na ka-nchi kidogo kama Israel aibu hii waarabu na waarabu-koko wa Bongo inawatesa sana sana. Ukifuatilia vita zote zinazopiganwa huko Mashariki ya kati waanzilishi wa chokochoko hizo ni waarabu na ndiyo wanakuwa wa kwanza na kulałamika Kama walivyofanya kwenye vita hii ambapo Oct 07,2023 Hamas walifanya mauaji ya kutisha lakini Israel ilipojibu Hamas sasa wanalalamika Na kubwabwaja ovyo “Genocide!!!!!!! Pamoja na wao kulalamika Israel haitaacha kulinda nchi yake na raia wake na haitasikiliza visingizio vya kijinga vya waarabu na waarabu-koko wa Bongo.Watu awaelewi ukiona Wanajesh wakakamavu lkn wapo na sare za IDF ujue ao kutoka washilika na ndio wanaopigana vita apo GAZA kama Ukraine unapoona wanajesh washilika lkn wapo ktk sare za Ukraine ukimkamata ndio utajua kumbe uyu kutoka UK au USA au France NK lkn wate agenda yao kutaka iyonekane Israel ndio inapigana na Israel inamaguvu makubwa sana lengo kuwatisha Warabu waiogope Israel kumbe weupe na waoga sana wakufa.