Trump Alisema Iran Air Force Kaimaliza Kumbe Alikuwa Kwenye Ndoto

Hiv unajua maana ya watu wanashambulia wanakokutaka na muda wowote.... Maana yake uwezo wako wa air defense umekufa ndio maana kila siku USA na Israel wanashinda kwenye anga la iran.... Maana yake iran sio tishio kwenye anga lake.... Iran anapigika haswa tena watu wanachagua wapige wapis😀.... Ndio maana unasikia wameua huyu mara wameua yule
 
Jf ujumbe ndio huo.

Na kuhusu hawa kina

Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo

Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets

View: https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF

Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia

View: https://youtu.be/cSrq1bnb2A0?si=58NwSNcyTgKMsOij

Wamarekani hawawezi kutia boots on the ground. At the end of the day, mazafakas wataweka mpira kwapani na kujitangazia face-saving victory!
 
Hiv unajua maana ya watu wanashambulia wanakokutaka na muda wowote.... Maana yake uwezo wako wa air defense umekufa ndio maana kila siku USA na Israel wanashinda kwenye anga la iran.... Maana yake iran sio tishio kwenye anga lake.... Iran anapigika haswa tena watu wanachagua wapige wapis😀.... Ndio maana unasikia wameua huyu mara wameua yule

Na uko Israel kuna Ulinzi wowote kwasasa!?????
 
Propaganda kwenye hii vita itawagharimu sana Iran. Wazirushe juu sasa wakashambulie
Tatizo nyie ndio kama yule mtoto wa M7 mnajidai mnajua vita wakati hamvijui. Vita vinapigwana kwa Tactics kila silaha inatumika kwa wakati wake

Iran hizo ndege atazitumia wakisha ingiza boots zao jeshi la America.

Trump hana jipya alicho hutubia leo huko USA kujidai kufanikiwa kwenye vita alicho fanikiwa kipi zaidi ya kuuwa uwa viongozi na kuvunja majumba ya wananchi au kupiga mambo yasio husika na alicho enda kwa ajili yake kama alienda kupiga matank ya mafuta au kupiga mambo yanayo husika na umeme na maji hapo ndio kafanikiwa.

Je kazuia Missiles zisiruke, kachukua Uranium enrichment au kaweza kuifikia ilipo hahaha.

Badala ya target ya vita kazidisha matatizo Hormuz kashindwa kuifungua bada ya kudai kaivunja Navy ya Iran hata kusogea Hormuz anaogopa.

Kabakia uwongo tu eti Iran alikuwa ana Missiles za kuweza kupiga America tumezivunja hahaha wakati hakuna hata chomba cha ujasusi cha American kimekubaliana naye. Na hivyo vyombo vyote vilidai Iran hana nia ya kuishambulia USA mpaa tuingie vitani wala walikuwa hawana time na America wala hawana Missiles za kufika America

Huyo kaingia vita kwa sababu ya scandal za Epstein 😆

Kichaa kaomba tena eti week tatu aendelee na vita bila kuwaeleza atashinda vipi hio vita au akishindwa kwa mda wa week tatu atamaliza vipi vita, kama hakuweza kushinda kwa mwezi mmoja atashinda kwa week tatu afu si kila siku anadai kaisha shinda mbona kaomba week tatu tena au bado hakushinda.

Akingiza boots ndio hapo Iran wanaposubiri hata toka hapo kutoka kwake hapo nikuondoka na masanduku ya maiti.
 
Teh teh teh vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi kuvipata? Yaani ushindwe kutumia ndege kipindi hichi ili upambane na ndege za adui unasubiri groun troops ndio utumie,akili za kukopa kausha damu hizi.
 
Huyo jamaa hana akili kabisa,yaani ununue ndege za kivita kwa mabilioni halafu wakati wa vita unazificha uwani,sasa ulinunua za kazi gani
Ndiyo ujue kuwa hapa jamiiforum kuna WAJINGA wengi kuliko kule Facebook.
Jamiiforum imekuwa ya hovyo kutokana na mada za kijinga kama hizi
 
Kweli ndio sababu wengine wanatengeneza majina 30+ wanajijibu wenyewe lini utatuletea kamanda yupi kafa hizo ndio topic za kijinga kuna vita duniani mwanajeshi hafi hahaha.

Sa nyie ndio mna akili mnalazimisha nchi irushe ndege zake wakati kwa sasa hazihitajii Missiles zinaongea.

Mnadai USA na Israel wana control anga la Iran sa hebu tujibuni hizo Missiles zinafika vipi Israel na Base za America kule Middle East

Vipi mdai mmeshinda vita na bado mnasema tunataka week tatu, tunawapeni mwaka sio week tatu ili Israel azidi kusambaratishwa USA sa kawa jokes mpaa wenzake NATO wanamcheka alijidai atajitoa NATO kajikuta mjinga kakunja mkia.

Iran shikilia hapo hapo hi ndio vita ya mwisho, USA hata substitute tena kushambulia nchi za Middle East
 
Ujinga ni kujifariji kuwa Netanyau kafa anayeonekana kwa sasa ni video na picha za AI wakati viongozi zaidi ya 40 na Kingunge wa Waajemi wanagombea mabikira kule peponi, wanasema kufa vitani ni kufa shaheed,sasa kwa nini Mojtaba anajificha atoke hadharani abutuliwe afe shaheed akapate tuzo ya Papuchi 72 ambazo hazijatobolea ! kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..!
 
Jf ujumbe ndio huo.

Na kuhusu hawa kina

Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo

Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets

Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia
Umenimiss Dogo, Sishangai kwa fake muislim kama wewe Sisi hatuna Tabia kama za Allah na Mohammad kuwa na Majina 99 kila moja. kila mtu humu anajiegemea kivyake.

Nasikia kkusema uoongo kunakomaza imani ya kiislam. Devil worshipping
 
Iran inarudi stone age jipeni faraja tu hapo masjid, ni suala la muda tu wa kumaliza operation Trump!
 
Umenimiss Dogo, Sishangai kwa fake muislim kama wewe Sisi hatuna Tabia kama za Allah na Mohammad kuwa na Majina 99 kila moja. kila mtu humu anajiegemea kivyake.

Nasikia kkusema uoongo kunakomaza imani ya kiislam. Devil worshipping

View: https://youtu.be/ZPbxlUyuqDY?si=JjRnutSzo5pMCPk7

We uwongo ipo kwenye damu za wakristo mmemrithi kiongozi wenu

Huoni Iran anawanasa kwa dalili mnadai ndege zenu hazipigwi
 
Back
Top Bottom