Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Karibu zitaenda kuwangamiza wa America, Iran anapigana vita hi kiakiliZimekuwa ndege za maonyesho, ndege unaonyesha kwenye mahandaki? zipae zikapige show kama zitarudi.
Huyo jamaa hana akili kabisa,yaani ununue ndege za kivita kwa mabilioni halafu wakati wa vita unazificha uwani,sasa ulinunua za kazi ganiZimekuwa ndege za maonyesho, ndege unaonyesha kwenye mahandaki? zipae zikapige show kama zitarudi.
Propaganda kwenye hii vita itawagharimu sana Iran. Wazirushe juu sasa wakashambulieJf ujumbe ndio huo.
Na kuhusu hawa kina
Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo
Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets
View: https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF
Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia
View: https://youtu.be/cSrq1bnb2A0?si=58NwSNcyTgKMsOij
Wamarekani hawawezi kutia boots on the ground. At the end of the day, mazafakas wataweka mpira kwapani na kujitangazia face-saving victory!Jf ujumbe ndio huo.
Na kuhusu hawa kina
Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo
Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets
View: https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF
Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia
View: https://youtu.be/cSrq1bnb2A0?si=58NwSNcyTgKMsOij
Hiv unajua maana ya watu wanashambulia wanakokutaka na muda wowote.... Maana yake uwezo wako wa air defense umekufa ndio maana kila siku USA na Israel wanashinda kwenye anga la iran.... Maana yake iran sio tishio kwenye anga lake.... Iran anapigika haswa tena watu wanachagua wapige wapis😀.... Ndio maana unasikia wameua huyu mara wameua yule
Tatizo nyie ndio kama yule mtoto wa M7 mnajidai mnajua vita wakati hamvijui. Vita vinapigwana kwa Tactics kila silaha inatumika kwa wakati wakePropaganda kwenye hii vita itawagharimu sana Iran. Wazirushe juu sasa wakashambulie
Teh teh teh vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi kuvipata? Yaani ushindwe kutumia ndege kipindi hichi ili upambane na ndege za adui unasubiri groun troops ndio utumie,akili za kukopa kausha damu hizi.Tatizo nyie ndio kama yule mtoto wa M7 mnajidai mnajua vita wakati hamvijui. Vita vinapigwana kwa Tactics kila silaha inatumika kwa wakati wake
Iran hizo ndege atazitumia wakisha ingiza boots zao jeshi la America.
Trump hana jipya alicho hutubia leo huko USA kujidai kufanikiwa kwenye vita alicho fanikiwa kipi zaidi ya kuuwa uwa viongozi na kuvunja majumba ya wananchi au kupiga mambo yasio husika na alicho enda kwa ajili yake kama alienda kupiga matank ya mafuta au kupiga mambo yanayo husika na umeme na maji hapo ndio kafanikiwa.
Je kazuia Missiles zisiruke, kachukua Uranium enrichment au kaweza kuifikia ilipo hahaha.
Badala ya target ya vita kazidisha matatizo Hormuz kashindwa kuifungua bada ya kudai kaivunja Navy ya Iran hata kusogea Hormuz anaogopa.
Kabakia uwongo tu eti Iran alikuwa ana Missiles za kuweza kupiga America tumezivunja hahaha wakati hakuna hata chomba cha ujasusi cha American kimekubaliana naye. Na hivyo vyombo vyote vilidai Iran hana nia ya kuishambulia USA mpaa tuingie vitani wala walikuwa hawana time na America wala hawana Missiles za kufika America
Huyo kaingia vita kwa sababu ya scandal za Epstein 😆
Kichaa kaomba tena eti week tatu aendelee na vita bila kuwaeleza atashinda vipi hio vita au akishindwa kwa mda wa week tatu atamaliza vipi vita, kama hakuweza kushinda kwa mwezi mmoja atashinda kwa week tatu afu si kila siku anadai kaisha shinda mbona kaomba week tatu tena au bado hakushinda.
Akingiza boots ndio hapo Iran wanaposubiri hata toka hapo kutoka kwake hapo nikuondoka na masanduku ya maiti.
Ndiyo ujue kuwa hapa jamiiforum kuna WAJINGA wengi kuliko kule Facebook.Huyo jamaa hana akili kabisa,yaani ununue ndege za kivita kwa mabilioni halafu wakati wa vita unazificha uwani,sasa ulinunua za kazi gani
Kweli ndio sababu wengine wanatengeneza majina 30+ wanajijibu wenyewe lini utatuletea kamanda yupi kafa hizo ndio topic za kijinga kuna vita duniani mwanajeshi hafi hahaha.Ndiyo ujue kuwa hapa jamiiforum kuna WAJINGA wengi kuliko kule Facebook.
Jamiiforum imekuwa ya hovyo kutokana na mada za kijinga kama hizi
Propaganda kwenye hii vita itawagharimu sana Iran. Wazirushe juu sasa wakashambulie
Umenimiss Dogo, Sishangai kwa fake muislim kama wewe Sisi hatuna Tabia kama za Allah na Mohammad kuwa na Majina 99 kila moja. kila mtu humu anajiegemea kivyake.
Umenimiss Dogo, Sishangai kwa fake muislim kama wewe Sisi hatuna Tabia kama za Allah na Mohammad kuwa na Majina 99 kila moja. kila mtu humu anajiegemea kivyake.
Nasikia kkusema uoongo kunakomaza imani ya kiislam. Devil worshipping