Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Ni USA vs IRAN au ISRAEL vs IRAN au ni ISRAEL+USA vs IRAN?.
Tuliaaminishwa mengi sana, lkn Naamin Kila mtu kafahamu nguvu halisi za Israel.
Kina adriz Adiosamigo na Tanganian wanasubiri Kwa hamu Airan (Iran) wajibu Kwa kurusha vimondo kadhaa Kwa fujo kuelekea anga teule waanze kutukatia Mauno humu jamvini international forum.Fordow is gone
Kwahio mtoto mteule hana nguvu peke yake mbele ya IRAN, na wote tumeshuhudia hilo mpaka asaidiwe na baba ake?.Haijalishi, kimsingi kobaz kalishwa madude ya nguvu, kama bado ana jeuri apeleke moto USA, au avamie popote penye raia wa USA, aue Mmarekani hata mmoja muone msiba.
Iran ndio ilikuwa imebaki nguvu ya ugaidi wa kiislamu, kuanzia Sasa mtatulia.
Ukiwa mfuasi mwamedi uwezo wa kufikiri unapungua e?Ni USA vs IRAN au ISRAEL vs IRAN au ni ISRAEL+USA vs IRAN?.
Tuliaaminishwa mengi sana, lkn Naamin Kila mtu kafahamu nguvu halisi za Israel.
Atakua hana akili nadhani au atakua nayo?.Ukiwa mfuasi mwamedi uwezo wa kufikiri unapungua e?
Iran kupitia ayatollah amekuwa akiapa msikitin ataiangamiza israel akikamilisha kumiliki nucs
We unaona uyo kiongozi ana akili?
Kama shetani mwananguMnyama B-2
Wamegalagazwa kwenye technologyHapa suala la msingi ni kujipanga kuhusu maisha yetu.
Hii vita inaenda kuvuruga maisha yetu rasmi, Trump amehakikisha hili linatokea.
Hawa Waajemi hawatokubali kusurrender, not anytime soon!!!
IndeedHakuna nchi inayoitwa Israel naona hata bible ni kitabu cha kusadikika.
Kujisahaulisha au kung'ang'aniza kwamba uitenganishe Israel na USA ni matumizi mabaya ya mawazo.Teke likupigalo ndiyo limetoka kwenye mwili huohuo unaouona.Ni USA vs IRAN au ISRAEL vs IRAN au ni ISRAEL+USA vs IRAN?.
Tuliaaminishwa mengi sana, lkn Naamin Kila mtu kafahamu nguvu halisi za Israel.
Nilikua sijui kumbe huwezi itenganisha Israel na USA?.Kujisahaulisha au kung'ang'aniza kwamba uitenganishe Israel na USA ni matumizi mabaya ya mawazo.Teke likupigalo ndiyo limetoka kwenye mwili huohuo unaouona.
Unaanzaje kuwatenganisha?Itaonesha kuna mtu katoroka na kichwa chako.Nilikua sijui kumbe huwezi itenganisha Israel na USA?.