Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

Atakua hana akili nadhani au atakua nayo?.

Je Israel peke yake hamuwezi Iran?.

Mpaka apate msaada kutoka kwa wahisan?.
Usiwe fyatu, USA hajapiga target za kijeshi, au hifadhi ya silaha Bali vinu vya nuclear, kwani Iran inapambana na Israel kwa kutumia vinu vya nuclear hivyo?
 
Usiwe fyatu, USA hajapiga target za kijeshi, au hifadhi ya silaha Bali vinu vya nuclear, kwani Iran inapambana na Israel kwa kutumia vinu vya nuclear hivyo?
Aisee!!. Kwa nini Israel alishindwa kuvipiga hivyo vinu vya Nuclear mpaka asaidiwe na bwana wake USA?.
 
Kwahio mtoto mteule hana nguvu peke yake mbele ya IRAN, na wote tumeshuhudia hilo mpaka asaidiwe na baba ake?.

Mimi kwangu concern yangu ilikua kujua nguvu za Israel, hii ambayo tumeaminishwa ndio inasaidia USA kumbe ni kunyume chake.

Muislamu yeyote popote ulipo ukiangalia hii picha unapaswa aibu ikuingie

3t17h8fubqy61.jpg
 
Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi Na Jacob Magid Fuata Leo, 5:18 asubuhi "Hili haliwezi kuendelea. Kutakuwa na amani au kutakuwa na janga kwa Iran kuliko tulivyoshuhudia katika siku nane zilizopita," Rais wa Marekani Donald Trump anasema katika hotuba yake kwa taifa. "Kumbuka, kuna shabaha nyingi zilizosalia," Trump anaonya. "Usiku wa leo ndio ulikuwa gumu kuliko zote, kwa mbali, na labda mbaya zaidi. Lakini ikiwa amani haitakuja haraka, tutafuata walengwa wengine kwa usahihi, kasi na ustadi - nyingi zao zinaweza kuondolewa kwa dakika chache," anaendelea.
USA IS ISRAEL AND ISRAEL IS USA. NA MJOMBA WAO NI UK. OVER.
 
Back
Top Bottom