Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

Atakua hana akili nadhani au atakua nayo?.

Je Israel peke yake hamuwezi Iran?.

Mpaka apate msaada kutoka kwa wahisan?.
Usiwe fyatu, USA hajapiga target za kijeshi, au hifadhi ya silaha Bali vinu vya nuclear, kwani Iran inapambana na Israel kwa kutumia vinu vya nuclear hivyo?
 
Usiwe fyatu, USA hajapiga target za kijeshi, au hifadhi ya silaha Bali vinu vya nuclear, kwani Iran inapambana na Israel kwa kutumia vinu vya nuclear hivyo?
Aisee!!. Kwa nini Israel alishindwa kuvipiga hivyo vinu vya Nuclear mpaka asaidiwe na bwana wake USA?.
 
Kwahio mtoto mteule hana nguvu peke yake mbele ya IRAN, na wote tumeshuhudia hilo mpaka asaidiwe na baba ake?.

Mimi kwangu concern yangu ilikua kujua nguvu za Israel, hii ambayo tumeaminishwa ndio inasaidia USA kumbe ni kunyume chake.

Muislamu yeyote popote ulipo ukiangalia hii picha unapaswa aibu ikuingie

 
USA IS ISRAEL AND ISRAEL IS USA. NA MJOMBA WAO NI UK. OVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…