Trump amedai Iran imetoa “zawadi kubwa” kwa Marekani

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.

Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.

Hata hivyo, hakutoa maelezo zaidi kuhusu asili ya “zawadi” hiyo, japo amesema ina thamani kubwa, jambo lililoacha maswali mengi kuhusu kilichokubaliwa kati ya pande hizo mbili.
 
Anatengeneza mazingira ya kuachana na hii vita,
Wengi waliwachukukia poa Iran lakin mwisho tumeona nani anaomba yaishe.
Iran alishashema wao ndio wataamua hii vita itaisha lini.
Taarifa kutoka Iran zinadai bado Iran anauwezo wa kupigana na US-ISRAEL kwa zaidi miaka 10 mbele, tusubiri majibu kutoka Tehran.
 
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.

Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.

Hata hivyo, hakutoa maelezo zaidi kuhusu asili ya “zawadi” hiyo, japo amesema ina thamani kubwa, jambo lililoacha maswali mengi kuhusu kilichokubaliwa kati ya pande hizo mbili.
WAzungu wamemzomea kwa story yake ya kitoto, ila kuna hizi kenge za gwajima huku kama mazombi wanaamini kila kitu akisema mzungu
 
Anatengeneza mazingira ya kuachana na hii vita,
Wengi waliwachukukia poa Iran lakin mwisho tumeona nani anaomba yaishe.
Iran alishashema wao ndio wataamua hii vita itaisha lini.
Taarifa kutoka Iran zinadai bado Iran anauwezo wa kupigana na US-ISRAEL kwa zaidi yaiaka 10 mbele, tusubiri majibu kutoka Tehran.
Bwashee tumeona na wamepata funzo kubwa sana , kuna sehemu sio za kuvamia kizembe
 
Kwahiyo kahongwa ili aache vita?

Hata kama ni kweli,hii still ni aibu kwake kusema hivyo,
Kwani lengo lake la vita lilikua ni kupewa zawadi?

Bravo IRAN kamatia hapo hapo,Dunia ya leo haitaki unyonge wala kutia huruma.
 
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.

Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.

Hata hivyo, hakutoa maelezo zaidi kuhusu asili ya “zawadi” hiyo, japo amesema ina thamani kubwa, jambo lililoacha maswali mengi kuhusu kilichokubaliwa kati ya pande hizo mbili.
Zawadi anaendelea kupewa, habari za leo ni kwamba bunge la Israel limechomwa moto na zawadi nyengine nyingi zinakuja
 
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.

Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.

Hata hivyo, hakutoa maelezo zaidi kuhusu asili ya “zawadi” hiyo, japo amesema ina thamani kubwa, jambo lililoacha maswali mengi kuhusu kilichokubaliwa kati ya pande hizo mbili.
Tramp anatafuta mlango wa kutokea vita imemshinda.
 
Back
Top Bottom