Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
WAzungu wamemzomea kwa story yake ya kitoto, ila kuna hizi kenge za gwajima huku kama mazombi wanaamini kila kitu akisema mzunguRais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.
Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Hata hivyo, hakutoa maelezo zaidi kuhusu asili ya “zawadi” hiyo, japo amesema ina thamani kubwa, jambo lililoacha maswali mengi kuhusu kilichokubaliwa kati ya pande hizo mbili.
Bwashee tumeona na wamepata funzo kubwa sana , kuna sehemu sio za kuvamia kizembeAnatengeneza mazingira ya kuachana na hii vita,
Wengi waliwachukukia poa Iran lakin mwisho tumeona nani anaomba yaishe.
Iran alishashema wao ndio wataamua hii vita itaisha lini.
Taarifa kutoka Iran zinadai bado Iran anauwezo wa kupigana na US-ISRAEL kwa zaidi yaiaka 10 mbele, tusubiri majibu kutoka Tehran.
Iran alishasema anataka kumpiga US-ISRAEL hadi asitamani kamwe kujakuanza kumgusa tena.Bwashee tumeona na wamepata funzo kubwa sana , kuna sehemu sio za kuvamia kizembe
Zawadi anaendelea kupewa, habari za leo ni kwamba bunge la Israel limechomwa moto na zawadi nyengine nyingi zinakujaRais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.
Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Hata hivyo, hakutoa maelezo zaidi kuhusu asili ya “zawadi” hiyo, japo amesema ina thamani kubwa, jambo lililoacha maswali mengi kuhusu kilichokubaliwa kati ya pande hizo mbili.
Tramp anatafuta mlango wa kutokea vita imemshinda.Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.