Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran

Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran

Sasa Trump anataka msaada gani si yupo na Israel taifa teule😂
 
Iran has finally delivered its official 10 point peace proposal. It is much more reasonable because it drops Irans demand for a US military withdrawal from the Persian Gulf and its demand for reparations.

Trump should immediately accept Iran's peace offer, declare victory, end the war and keep the US military out of the Persian Gulf in exchange for Iran opening the Strait of Hormuz and ending its attacks on our Gulf allies.
 
BREAKING 🚨: 🇫🇷Macron amemshtua sana Trump.

🇫🇷Macron aliuza kimya kimya tani 129 za dhahabu ya Ufaransa iliyohifadhiwa New York na kununua kiasi sawa cha dhahabu barani Ulaya.

Akiba zote za dhahabu za Ufaransa sasa ziko Paris.

Macron AKIONDOA Marekani kimya kimya 🇺🇸
 
🇺🇸 Marekani imetishia kufunga vituo vyake barani Ulaya, kuvifunga, na kuwaondoa wanajeshi wa Marekani ikiwa nchi za Ulaya hazitaruhusu Marekani kutumia vituo hivyo.

Nchi za Ulaya Zilikataa Marekani kutumia vituo vyake vya kijeshi.

🇪🇸 Uhispania — Ilifunga anga yake kwa ndege za kijeshi za Marekani
🇮🇹 Italia— Ilikataliwa ndege za kijeshi za Marekani
🇫🇷 Ufaransa— Ilizuia safari za ndege za ziada na Marekani

🇦🇹 Austria— Ilikataliwa maombi ya Marekani kutumia anga yake
🇨🇭 Uswisi— Ilikataliwa maombi mengi ya Marekani ya anga
🇬🇧Uingereza — matumizi machache ya vituo vyake


View: https://x.com/silentlysirs/status/2041218532763910429?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭

Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇

🇰🇷 Korea Kusini haikumsaidia

🇯🇵 Japani haikumsaidia

🇦🇺 Australia haikumsaidia

🇦🇱 Albania haikumsaidia

🇧🇪 Ubelgiji haikumsaidia

🇧🇬 Bulgaria haikumsaidia

🇨🇦 Kanada haikumsaidia

🇭🇷 Kroatia haikumsaidia

🇪🇸 Uhispania haikumsaidia

🇬🇧 Uingereza haikumsaidia

🇫🇷 Ufaransa haikumsaidia

🇫🇮 Finland haikumsaidia

🇷🇺 Urusi haikumsaidia
=====================

BREAKING: Trump has officially admitted that none of his allies have come forward to help him against Iran 😭

According to him, he is now isolated internationally. He himself gave this list 👇

🇰🇷 South Korea did not help him

🇯🇵 Japan did not help him

🇦🇺 Australia did not help him

🇦🇱 Albania did not help him

🇧🇪 Belgium did not help him

🇧🇬 Bulgaria did not help him

🇨🇦 Canada did not help him

🇭🇷 Croatia did not help him

🇪🇸 Spain did not help him

🇬🇧 England did not help him

🇫🇷 France did not help him

🇫🇮 Finland did not help him

🇷🇺 Russia did not help him

And he wanted to isolate Iran 🤣🤣


View: https://x.com/amockx2022/status/2041390669953126814?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa hiyo unataka tujadili nini sasa?

Au uko ki-Mkakati kuhamisha Mada ili watu wasizungumzie mafanikio makubwa ya uokozi wa marubani wa ndege-vita F-15 E?
 
Wanaukumbi.

Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭

Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇

🇰🇷 Korea Kusini haikumsaidia

🇯🇵 Japani haikumsaidia

🇦🇺 Australia haikumsaidia

🇦🇱 Albania haikumsaidia

🇧🇪 Ubelgiji haikumsaidia

🇧🇬 Bulgaria haikumsaidia

🇨🇦 Kanada haikumsaidia

🇭🇷 Kroatia haikumsaidia

🇪🇸 Uhispania haikumsaidia

🇬🇧 Uingereza haikumsaidia

🇫🇷 Ufaransa haikumsaidia

🇫🇮 Finland haikumsaidia

🇷🇺 Urusi haikumsaidia
=====================

BREAKING: Trump has officially admitted that none of his allies have come forward to help him against Iran 😭

According to him, he is now isolated internationally. He himself gave this list 👇

🇰🇷 South Korea did not help him

🇯🇵 Japan did not help him

🇦🇺 Australia did not help him

🇦🇱 Albania did not help him

🇧🇪 Belgium did not help him

🇧🇬 Bulgaria did not help him

🇨🇦 Canada did not help him

🇭🇷 Croatia did not help him

🇪🇸 Spain did not help him

🇬🇧 England did not help him

🇫🇷 France did not help him

🇫🇮 Finland did not help him

🇷🇺 Russia did not help him

And he wanted to isolate Iran 🤣🤣


View: https://x.com/amockx2022/status/2041390669953126814?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Simba haitaki msaada
Alihitaji TU kampani Ili nao awasaidie wakati wa vita
 
Kwa hiyo unataka tujadili nini sasa?

Au uko ki-Mkakati kuhamisha Mada ili watu wasizungumzie mafanikio makubwa ya uokozi wa marubani wa ndege-vita F-15 E?
Rais Trump ANATANGAZA kwamba washirika wake wameisaliti Marekani.

"Tuna wanajeshi 45,000 nchini Japani, 45,000 nchini Korea Kusini, na 50,000 nchini Ujerumani."

"Tunalinda nchi hizi zote."

Sasa analia lia nini wakati mabwana zako Israel wapo😂
 
Uzuri Trump anaendelewa kula vichwa vya viongozi wa Iran, viongozi wanaishi km digidigi ndani ya nchi yao, kuteuliwa kupewa cheo ndani ya Iran ni kununua kifo, km kufa shaheed kwenye mapambano ni thawabu kwa nini wanajificha kwenye Bunker ?ili wawahishwe kupata 72 Virgin Prety Gal ?
Wale hawaogopi kufa. Wanachotaka ni chance ya kupigana tena siku inayofuata!
 
Hakuna nchi yenye watu mwenye akili timamu, wangeweza kusapoti uuwaji wa viongozi 40 wa nchi nyingine unnecessarily!
Ni kitu kipya!
Huyo ana kichaa cha uzee.
Amedata huyo mzee pamoja na madaraka ya Marekani aliyonayo.
 
Back
Top Bottom