Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran

Sasa Trump anataka msaada gani si yupo na Israel taifa teule๐Ÿ˜‚
 
Iran has finally delivered its official 10 point peace proposal. It is much more reasonable because it drops Irans demand for a US military withdrawal from the Persian Gulf and its demand for reparations.

Trump should immediately accept Iran's peace offer, declare victory, end the war and keep the US military out of the Persian Gulf in exchange for Iran opening the Strait of Hormuz and ending its attacks on our Gulf allies.
 
BREAKING ๐Ÿšจ: ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ทMacron amemshtua sana Trump.

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ทMacron aliuza kimya kimya tani 129 za dhahabu ya Ufaransa iliyohifadhiwa New York na kununua kiasi sawa cha dhahabu barani Ulaya.

Akiba zote za dhahabu za Ufaransa sasa ziko Paris.

Macron AKIONDOA Marekani kimya kimya ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
 
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Marekani imetishia kufunga vituo vyake barani Ulaya, kuvifunga, na kuwaondoa wanajeshi wa Marekani ikiwa nchi za Ulaya hazitaruhusu Marekani kutumia vituo hivyo.

Nchi za Ulaya Zilikataa Marekani kutumia vituo vyake vya kijeshi.

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Uhispania โ€” Ilifunga anga yake kwa ndege za kijeshi za Marekani
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italiaโ€” Ilikataliwa ndege za kijeshi za Marekani
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ufaransaโ€” Ilizuia safari za ndege za ziada na Marekani

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Austriaโ€” Ilikataliwa maombi ya Marekani kutumia anga yake
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ Uswisiโ€” Ilikataliwa maombi mengi ya Marekani ya anga
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡งUingereza โ€” matumizi machache ya vituo vyake


View: https://x.com/silentlysirs/status/2041218532763910429?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kwa hiyo unataka tujadili nini sasa?

Au uko ki-Mkakati kuhamisha Mada ili watu wasizungumzie mafanikio makubwa ya uokozi wa marubani wa ndege-vita F-15 E?
 
Simba haitaki msaada
Alihitaji TU kampani Ili nao awasaidie wakati wa vita
 
Kwa hiyo unataka tujadili nini sasa?

Au uko ki-Mkakati kuhamisha Mada ili watu wasizungumzie mafanikio makubwa ya uokozi wa marubani wa ndege-vita F-15 E?
Rais Trump ANATANGAZA kwamba washirika wake wameisaliti Marekani.

"Tuna wanajeshi 45,000 nchini Japani, 45,000 nchini Korea Kusini, na 50,000 nchini Ujerumani."

"Tunalinda nchi hizi zote."

Sasa analia lia nini wakati mabwana zako Israel wapo๐Ÿ˜‚
 
Wale hawaogopi kufa. Wanachotaka ni chance ya kupigana tena siku inayofuata!
 
Hakuna nchi yenye watu mwenye akili timamu, wangeweza kusapoti uuwaji wa viongozi 40 wa nchi nyingine unnecessarily!
Ni kitu kipya!
Huyo ana kichaa cha uzee.
Amedata huyo mzee pamoja na madaraka ya Marekani aliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ