Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
😅😅 Watu wengi mitandaoni wanasema Trump anafanya mambo ya kitoto kujaribu kuiga/kuimitate trans weightlifter (wanaume waliobadili jinsia kuwa wanawake na kwenda kushindana na wanawake kwenye michezo kunyanyua vitu vizito)
Trump yuko sahihi, watu hawa wasiruhusuwe kushiriki michezo ya wanawake, lakini the way anavyofanya their impression ni so embarrassing for a president like him 😅
Na hii si mara yake ya kwanza kuifanya, huwa anaipenda sana hiyo impression
Kuna hii alifanya akiwa anahotubia wanachuo, na alidai kuwa mke wake huwa hapendi kumuona anafanya hii impression lakini akasema yeye anaifanya kwa sababu watu wanapenda
Alipowauliza wanafunzi aifanye au asiifanye, wanafunzi waliitikia kwa nguvu "Fanya!" kuonesha wanaipenda
Na pia aliwahi kuifanya kwenye moja ya public speeches zake siku za nyuma