Trump amekosolowa vikali mitandaoni kwa ku imitate Trans weightlifter

Manipulation tu, wanawashawishi vijana mpaka mpaka wanaamini uongo. Binadamu ni kiumbe hatari sana
Wanaharibu sana kizazi cha sasa! Yani mtu anajisikia ndani ni wa kike🤔
 
Ni wa kike?

Huyu kazaliwa wa kiume kwa jina la Xavier Alexander Musk, lakini kabadili jinsia sasa anaitwa Vivian Jenna Wilson. Elon Musk hataki hata kumuona sasa hivi. Hujawahi kusikia hii drama? Check on Google

1000133726.jpg
 
uyu jamaa kama funny guy! akiongea hajali kasimama mbele ya nani . kama alivyokuwa anahotubia viongozi wa mataifa mbalimbal, Anatoa salam huku akijikoholesha vibaya kama ana TB akimlenga Biden aliyekuwa anaumwa.
Sasa Trump atasimama au ataongea na nani ambaye unaona atakuwa juu yake?
 
uyu jamaa kama funny guy! akiongea hajali kasimama mbele ya nani . kama alivyokuwa anahotubia viongozi wa mataifa mbalimbal, Anatoa salam huku akijikoholesha vibaya kama ana TB akimlenga Biden aliyekuwa anaumwa.
Trump ni comedian 100%
Huwa napenda kuangalia clip za speech zake, huwa zinanifurahisha sana mfano akianza kumwongelea Ilhan Omar na Somalia yake
 
Huyu kazaliwa wa kiume kwa jina la Xavier Alexander Musk, lakini kabadili jinsia sasa anaitwa Vivian Jenna Wilson. Elon Musk hataki hata kumuona sasa hivi. Hujawahi kusikia hii drama? Check on Google

View attachment 3583488
Duh kwel penye miti hakuna wajenzi, anaacha Kula pesa za baba na kula pisi kali, yeye anataka ndo awe anapanuliwa na kukazwa 🗑️ pumbavu kabisa.

Musk shikilia hapo hapo usiruhusu Hii laana
 
Huyu kazaliwa wa kiume kwa jina la Xavier Alexander Musk, lakini kabadili jinsia sasa anaitwa Vivian Jenna Wilson. Elon Musk hataki hata kumuona sasa hivi. Hujawahi kusikia hii drama? Check on Google

View attachment 3583488
Duhh mshenzi! Sijawahi kusikia! Mtoto wa hivi ni pigo kubwa, unaweza usizae tena! Elon ana Akili sana aisee!
 
Huyu kazaliwa wa kiume kwa jina la Xavier Alexander Musk, lakini kabadili jinsia sasa anaitwa Vivian Jenna Wilson. Elon Musk hataki hata kumuona sasa hivi. Hujawahi kusikia hii drama? Check on Google

View attachment 3583488
Ila huyu atakuwa ana malezi ya upande wa mama tuu, hii kitu sidhani kama utakuja kuisikia kwa yule dogo X mana dingi yake anamuendesha vzr
 
Kabisa aisee, hata jina kabadilisha kachukua la mama yake. Wanawake ndio easy sana kushawishika kwenye mambo sensitive kama haya
 
Back
Top Bottom