Hayatuhusu. Tujadilo ya kwetu yaliyotushindaπ π Watu wengi mitandaoni wanasema Trump anafanya mambo ya kitoto kujaribu kuiga/kuimitate trans weightlifter (wanaume waliobadili jinsia kuwa wanawake na kwenda kushindana na wanawake kwenye michezo kunyanyua vitu vizito)
Trump yuko sahihi, watu hawa wasiruhusuwe kushiriki michezo ya wanawake, lakini the way anavyofanya their impression ni so embarrassing for a president like him π
View attachment 3583377
Na hii si mara yake ya kwanza kuifanya, huwa anaipenda sana hiyo impression
Kuna hii alifanya akiwa anahotubia wanachuo, na alidai kuwa mke wake huwa hapendi kumuona anafanya hii impression lakini akasema yeye anaifanya kwa sababu watu wanapenda
Alipowauliza wanafunzi aifanye au asiifanye, wanafunzi waliitikia kwa nguvu "Fanya!" kuonesha wanaipenda
View attachment 3583378
Na pia aliwahi kuifanya kwenye moja ya public speeches zake siku za nyuma
View attachment 3583379
Trump anachukia mambo ya LGBTQ. So amezuia wanaume waliobadili jinsia kushiriki michezo ya wanawake.Sielewei kama ni sawa au sio, japo kuwapa support hawa washenzi si sawa! Huyu si ndio alikuja kasi sana kupinga hizi Habari tukasema afadhali labda haya mambo yatapunguza kasi?
Sioni mabadiliko yoyote wapo huru sana mpaka wana club za nje wanajiachia na pamba za kike! Anazingua, kashikilia misaada ya nje Un nyingi zimefungwa kqzi hazifanyiki kwa mindset hiyo wakati angefanya kazi kwa vitendo! Mwaka wa pili huu anachunguza kitu gani kisichofikia mwafaka? Au anaongea tu kuridhisha wasiokubaliana na hayo makundi ya kishetani?Trump anachukia mambo ya LGBTQ. So amezuia wanaume waliobadili jinsia kushiriki michezo ya wanawake.
Hapo alikuwa anajaribu kuonesha mifano kwa vitendo jinsi ambavyo si sawa wanaume Transgender kushiriki michezo ya wanawake, ila the way anavyoelezea watu wanasema ni childish, ila wengine wanaona uru sana
Sema haya mambo hayawezi kupungua USA. Ni vizuri tu kuwa wanazuiwa kuvuka mipaka na serikali ya Trump
Wanatetea mikungu yao na ya mashosti zao! Watamnyoosha mleta mada bila kujikita kwenye mada!Ngoja waje wale wamarekani weusi wa huko Nzega vijijini na wale wa Tandale kwa mkunduge uone povu lao.
Ni sawa na uiseme vibaya Bia,lazima utamuona min -me kuja kutetea chama la wana.Wanatetea mikungu yao na ya mashosti zao! Watamnyoosha mleta mada bila kujikita kwenye mada!
Ngoja tuwape jina lake ili wakahakikishe kabisa.Waziri wake wa fedha mbona ni mwanaume aliyeolewa?
Au mchambuzi wa masuala ya kunyanduana Profesa Binti wa zamaniMakundi ni mengi sana, hujakutana na wafia diniπ
π π Ni kwa sababu jamii ya USA imeshawakubali mashoga kwa hiyo hata kama Trump anawachukia kuna Democrats na pia mashirika na makampuni mengi yanayopush LGBTQ agenda, yakiwemo mashirika ya kutetea haki za binadamuWaziri wake wa fedha mbona ni mwanaume aliyeolewa?
Maybe ni kwa sababu Trump hana nguvu kubwa kiasi hicho cha kuzuia ushoga MarekaniSioni mabadiliko yoyote wapo huru sana mpaka wana club za nje wanajiachia na pamba za kike! Anazingua, kashikilia misaada ya nje Un nyingi zimefungwa kqzi hazifanyiki kwa mindset hiyo wakati angefanya kazi kwa vitendo! Mwaka wa pili huu anachunguza kitu gani kisichofikia mwafaka? Au anaongea tu kuridhisha wasiokubaliana na hayo makundi ya kishetani?
Hahha kuna kundi kubwa la nyeto secretarybirdAu mchambuzi wa masuala ya kunyanduana Profesa Binti wa zamani
Dahh huko sahihi mkuu, ni ngumu kujifanya jeshi la mtu mmoja wakati ukiangalia mataifa mengi yako allied na powerful people!Maybe ni kwa sababu Trump hana nguvu kubwa kiasi hicho cha kuzuia ushoga Marekani
Kikubwa anachoweza kufanya ndio kama hivyo, kuonesha hadharani kuwa anawachukia, kuzuia Trans-women kushiriki michezo ya wanawake kwa wababu biologically wao ni wanaume sio wanawake kama wanavyotaka kutambulika, nk
Ila hawezi kuzuia moja kwa moja, makampuni mengi, mashirika mengi na watu wengi Marekani tayari wanaunga mkono ushoga nk. Ni ngumu kuibadilisha nchi ya hivyo