Trump amekosolowa vikali mitandaoni kwa ku imitate Trans weightlifter

Source ni mada ya trumpπŸ˜‚
Hapo safi.
Bc na mm nasema mtoto wetu Mm na ww mtarajiwa akija amevaa sidiria, mwili wake mtauokota kwenye kifusi, Na ww mama ake sitaki maswali, nimemaliza 😎
 
Hapo safi.
Bc na mm nasema mtoto wetu Mm na ww mtarajiwa akija amevaa sidiria, mwili wake mtauokota kwenye kifusi, Na ww mama ake sitaki maswali, nimemaliza 😎
Mimi sitaki hilo balaa niache nile bata kwa amani!
 
Wewe husikii huko watoto wa kiume wanaweka matiti na makalio wanasema kwa ndani wanajisikia wakike
Hafu huo upunguwani sijui unatokana na nini! πŸ€”
Yani ndani ipi? Aisee ntafyeka mtoto mpaka ashangae!😩
 
Hafu huo upunguwani sijui unatokana na nini! πŸ€”
Yani ndani ipi? Aisee ntafyeka mtoto mpaka ashangae!😩

Manipulation tu, wanawashawishi vijana mpaka mpaka wanaamini uongo. Binadamu ni kiumbe hatari sana
 
What a clown!
Ila haya mambo ya ku support ushoga na transgender yanatia ukakasi kwa wengi hata iwe ulaya USA nk nk
 
Muangalieni mtoto wa Elon Musk huyu. Pamoja na utajiri wote lakini hili jambo linamuumiza sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…