Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kuna Mahali Niwahi Kusoma Wanasema Putin Ni Miongoni Mwa Watu Wenye IQ Kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa wewe kwanza usikurupuke hii mada siyo saizi yako.aise. Lini atakufa Putin aipe hauheni dunia
Mkuu kwani kipindi cha Boris Yeltsin Urusi haikuwa na silaha za kinyuklia ???Nuclear na hypesonic missile ndio zinampa jeuri.
Wanacho muogopa Putini wanajua ni mwehu kwamba anaouwezo wa kutumia hizo silaha kama akizidiwa kidogo ndio maana wanamuogopa.
Kingine ni silaha za kutungulia ndege hayo ma s-400 nk.
Kimsingi amejipanga kikamilifu.
Kibabu Bide sio kijinga,kinajua vita ikianza haitakuwa kama zamani sababu moto utawaka mbaka newyork.
Mkuu hypersonic hazitunguliki na kitu chochote ndio mana ukiingia vitani na nchi yenye hypersonic ujue huna namna ya kuzizuia hizo silaha,zisi kutwange.
Sasa babu akiangalia magotofa ya newyork jinsi yanavyo pendeza alafu anajua kabisa akijichanganya yanashushwa jumlisha uzee ndio presha inapanda anaona atakufa bure hahahahaaa.
Sio kila kitu lazima ujibu, vingine wajipa muda wa kutafakari
Sikukujibu kwa kuwa niliona ulichokoti (ulichoulizwa) na maelezo uliyoleta havina uhusiano.
Btw: hapa huyu rais G.W. Bush wa US ktk mahojiano amsifia Putin, naye alikuwa akifanya siasa gani?
Psaki amemshambulia Trump kwa sababu ya jambo ama tukio lililosifiwa. Sio kwa sababu Trump amemsifia Putin. Sidhani kama unaelewa ninachosema! Suala ama jambo lililosifiwa na Trump, kwa maoni ya Psaki, ni la kipuuzi. Suala linalosemwa hapo ni hiyo "invasion plan".Jen Psaki ni afisa mwandamizi ktk serikali ya sasa ya Marekani, akihudumu ndani ya White House . Anajua siasa za Marekani kuliko Mmatumbi yeyote hapa JF. Yeye (Jen Psaki) kamuelewa Trump kama wengine walivyomuelewa, kuwa anamsifia Putin kwa hatua alizochukua dhidi ya Ukraine. Na kwa sababu hiyo kaamua kumshambulia Trump kwa kumsifia Putin.
Wewe Mmarekani mmatumbi endelea kudai ni mwerevu mno wa siasa za Marekani kuliko viongozi wenyewe wa serikali ya Marekani wanavyoijua siasa ya nchi yao.
![]()
Psaki hits back at Trump calling Putin Ukraine invasion plan 'GENIUS'
White House press secretary Jen Psaki hit back at former President Donald Trump for calling Russian President Vladimir Putin's invasion plan of Ukraine 'genius' and 'smart.'www.dailymail.co.uk
Liz Cheney ni mmarekani OG, mwanachama wa Republican (chama cha Trump) na mwakilishi ktk bunge la marekani toka mwaka 2017.
Yeye kaelewa kuwa Trump kamsifia Putin kwa hatua ya kuingia Ukraine, ameona si jambo la kawaida hata kidogo (pamoja na kuwa wapo chama kimoja) na hivyo kamshambulia Trump kwa kauli hiyo.
Je, Mmarekani huyo OG, tena mwanachama wa Republican party, naye ni mshamba (kwa kutoona sifa hizo za Trump kwa Putin sio jambo la kawaida)? ila wewe Mmarekani wa Buza ndio mwerevu wa kuona hilo ni jambo dogoo?
Kila taifa lina siasa zake tofauti na mataifa mengine, ingawa miundo/mifumo ya kiutawala inaweza kufanana. Hilo suala kwamba "Marekani ni viumbe tofauti na rest of the world" ni mjadala mwingine.Ha ha haa .kwa hiyo siasa za Marekani zinahitaji kozi maalumu kuzifaham.
Aisee .Marekani ni viumbe tofauti na sisi rest of the world
China wanazalisha ges kw wing, na ikibidi china kushirikiana na russia na yeye maslahi yake kwa marekani yataporomoka ataekewa vikwazo piakwasababu atawauzia UCHINA kwahio hakuna shida MKUU hayo unayoyasema RUSSIA na PUTIN waliishayajua kabla hawaja yafanya yaaani
Wapalestina kwa Jina jingine wanaitwa wafilisti walikuwa ni adui wa Israel miaka na miaka,Mungu wa wapalestina aliitwa Baali.Jerusalem haijawahi kuwa mji wao.Ukisoma kitabu Cha Wafalme ambacho kilikuwepo kabla hata ya kurani,kinaelezea "Mfalme Daudi Kutawala Israel hiyo ilikuwa zaidi ya miaka 3000 iliyopita",Mfalme Daudi Alikuwa ametawala Israeli kwa muda wa miaka arubaini; miaka saba akiwa Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akiwa Yerusalemu"Kama muengereza hakuwakusanya ulaya huko walipokua hawatakiwi kutokana na ufisadi wao kupelekea kila nchi kuwakataa basi zingekua zimebaki koba zao tu huko ulaya
Hakuna nchi inayoitwa Israel hata kama viongozi wote wa dunia watie saini[emoji16], ni sawa na kulazimisha ndoa za jinsia moja, Mungu ameahidi kuwapiga laana mpaka dunia itaisha hata Bible yako ya kale imeongea hivyo ndio maana poulo akaiupdate kuwa agano jipya [emoji23], hata Yesu wako wanamkataa ww unawashobokea [emoji1]
Blabalabalaaa ukweli hautobadilikaWapalestina kwa Jina jingine wanaitwa wafilisti walikuwa ni adui wa Israel miaka na miaka,Mungu wa wapalestina aliitwa Baali.Jerusalem haijawahi kuwa mji wao.Ukisoma kitabu Cha Wafalme ambacho kilikuwepo kabla hata ya kurani,kinaelezea "Mfalme Daudi Kutawala Israel hiyo ilikuwa zaidi ya miaka 3000 iliyopita",Mfalme Daudi Alikuwa ametawala Israeli kwa muda wa miaka arubaini; miaka saba akiwa Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akiwa Yerusalemu"
1 Wafalme 2:11
Hata Hebron inayoitwa ukingo wa magharibi huko Ramallah ni maeneo ya Israel.
Wapalestina eneo lao ni Gaza Toka enzi na enzi ,ndipo hupo Gaza Samson alipambana na wapalestina na alikotoka Delila.
Daudi na Samson wale walikuwa ni wayahudi na sio wapalestina!
Ujinga mtupu