Aurekebishe sasa yeye si bora sana kuliko aliyemtangulia? Aache maneno mingi achape kazi awaletee manifaa walio mchagua.Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
View attachment 3321065
View attachment 3321066
Wenu wenye akili wamefanya nn 🤣Kubwa jinga Trump
huyu trump tapeli -----Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
View attachment 3321065
View attachment 3321066
Yaani Trump anajitekenya na kucheka mwenyewe. Eneo fulani la kiuchumi la USA likifanikiwa sasa anajipa sifa na kujipongeza kuwa ni matunda mazuri ya kazi zake ndani ya muda mfupi alioingia madarakani, lakini eneo lingine la kiuchumi likidorora vibaya anatupa mpira kuwa hayo ni matunda mabovu ya mtangulizi wake.Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
View attachment 3321065
View attachment 3321066
Unamkataa!!🙃🙃Trump mgonjwa wa akili.
Kwani nilimkubali lini?Unamkataa!!🙃🙃
Nafikiri kitu Trump hana ni aibu, na huenda ni sababu mojawapo amefika mbali sana katika maisha.Siku 100 zimekwisha, halafu
1. Vita ya mashariki ya kati iko pale pale.
2. Vita vya Ukraine vipo palepale
3. Mfumuko wa bei USA umezidi kuongezeka
4. Soko la hisa USA limeporomoka
5. Tatizo la ajira USA liko pale pale
Trump hana cha kujivunia, anaona aibu mbele ya wamerekani, amechokwa vibaya!.
Halafu kuna mitaahira yenzake humu inamuona ana akili kumbe ni likiazi tuKubwa jinga Trump