Huyu Mzee mtata kweli kweli.Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
View attachment 3321065
View attachment 3321066
Una hoja mkuuMarekani vile vizazi vya watu makini vimeisha.
Mwisho wa ubora wa marekani ilikuwa administration ya Bill Clinton, baada ya hapo Marekani haikubahatika kupata mtu makini tena.
Aliyeanza kuivuruga Marekani ni Bush, Obama hakufanya lolote la maana, Trump ndio sifuri kabisa, nachoona hapa ni safari tu ya Marekani kuendelea kuwa Taifa la kawaida na sio tena Taifa tishio kiuchumi.
Na sio Marekani tu ni Ulaya nzima kwa ujumla, ni kwamba sisi wafrika hatujiamini tu ila kama tukiwa makini in 50 years to come tunaweza kabisa kuwa katika nafasi za kuamua nini kifanyike katika uchumi wa Dunia.
Sasa si ndio anautengeneza. Unadhani kuutengeneza uchumi mkubwa kama wa Marekani aliokuta hovyo ni kitu rahis.Aurekebishe sasa yeye si bora sana kuliko aliyemtangulia? Aache maneno mingi achape kazi awaletee manifaa walio mchagua.
Latest ni obama kwa mbalii, coolest president. After that ni nuclear fall outMarekani vile vizazi vya watu makini vimeisha.
Mwisho wa ubora wa marekani ilikuwa administration ya Bill Clinton, baada ya hapo Marekani haikubahatika kupata mtu makini tena.
Aliyeanza kuivuruga Marekani ni Bush, Obama hakufanya lolote la maana, Trump ndio sifuri kabisa, nachoona hapa ni safari tu ya Marekani kuendelea kuwa Taifa la kawaida na sio tena Taifa tishio kiuchumi.
Na sio Marekani tu ni Ulaya nzima kwa ujumla, ni kwamba sisi wafrika hatujiamini tu ila kama tukiwa makini in 50 years to come tunaweza kabisa kuwa katika nafasi za kuamua nini kifanyike katika uchumi wa Dunia.
Nipo bize kitaaluma na Masomo , ila nakupa uhuru now wewe Nyambulet and I promise you will cry soon Maarass!! #FreedomHasApriceSasa si ndio anautengeneza. Unadhani kuutengeneza uchumi mkubwa kama wa Marekani aliokuta hovyo ni kitu rahis.
Kashasema be patient the tarrifs will soon take effect and then.... BOOM maamae Trump!
Nyau de adriz NYANGWISI
Hivi vidide nimelogezewa na forex walai,nipo addicted mno
Lkn si Nabii wenu huyu Trump...Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
View attachment 3321065
View attachment 3321066
Tito tuu na Zumaridi manabii na wana wafuasiAmewahi kutabiri nini??