Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Kwa nini mashoga wengi wanakuwa na hasira sana???Kawasaidie Gaza
Kwa nini mashoga wengi wanakuwa na hasira sana???Kawasaidie Gaza
Umeitendea haki akili yako mkuuHe promised he would end the war 24 hours after his inauguration. Guess he overestimated his capabilities.
The only leverage America had against Russia was the economic one, which has already been deployed and proved futile.
Now, Putin controls the outcome of the war and has an upper hand in the negotiation. Accepting defeat for now, to stop the blood-bath is the best strategic move, otherwise Kharkiv and Odessa are next.
And Trump must be really stupid, believing that Putin, a former K.G.B Thug was a man he could double cross. You can never double cross that Thug and be free of consequences.
Netanyahu ni halali akiitaka Gaza ila kwa putin ni haramu? Huu unafiki wa western countries huwa nashindwa kuuelewa.Nimesema muda mrefu kuwa Putin anataka Ukraine yote, si kipande tu, na huenda nilikuwa sahihi lakini akiendelea kufanya hivyo, hiyo ndiyo itakuwa sababu ya kuanguka kwa Urusi!”
Marekan bado wana kile kiburi bodo we are number one na kuwa dunia itafuata kinachoamuliwa washing toni hata kwa iran usa walidhani bado wako miaka 2000 ya kuweza kulazimisha mamboTrump alikuwa anajitoa akili tu, vita ya Russia na Ukraine niya kimkakati haiwezi kumalizwa kipumbavu kwa namna alivyokuwa anaelezea.
Wajinga tu, ndio wangeweza kumuamini Trump kwamba yeye ndio anauwezo wa kumaliza hii vita kwa muda mfupi.
Watu walikuwa wanamuona kama mwehu tu, ndiomaana walikuwa wanamuuliza kwamba unasema utamshauri Putin aache vita maramoja, akikataa utamfanya nini, akawa hana majibu anazugazuga tu.
Na bado wanataka wengine wawaamini . Usa soft power imeisha kila deal utakaloingia nao lazima mguu mmoja uwe nje na mwingine ndani russia sio mjinga na hawezi kumpa trumpa maujiko hayo lazima trump aonekana takataka tuNetanyahu ni halali akiitaka Gaza ila kwa putin ni haramu? Huu unafiki wa western countries huwa nashindwa kuuelewa.