Trump amuita Zelensky dikteta

  • Kutokana na uongozi uliopita kutokuelewana na Trump na hatimaye kufanyiwa njama za ku-uwawa, unapelekea yale yote yaliyofanywa huko nyuma na uongozi uliopita kwake kuyaona ni batili.​
  • Ndio maana amekuja na kasi ya ajabu, kama ulikuwa unaunga mkono serikali iliyopita, juwa upo kikaangoni.​
  • Mpaka Israel kutamka wazi kuwa, rais aliyepo sasa ndio rafiki sahihi wa Israel tangu ikulu ya marekani ianze si mchezo.​
  • Rejea lile shambulio la kupigwa risasi, waliotoa pole, Urusi ilikuwa mojawapo; leo hii unategemea aende tofauti? Kwa namna nyingine anafanya kuwakomoa wale waliopita na wafuasi wao.​
 
Pigo kubwa kwa Ukraine chini ya Zelensky.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…