Trump amuita Zelensky dikteta

Trump amuita Zelensky dikteta

Hapa Trump kaongea ujinga Sana
Hivi aliyevamiwa ndo dictator au aliyevamia mwenzake
Ni aibu Rais wa Taifa kubwa kuwa pupet wa Russia
Hata watu wote anaowateua kwenye sehemu nyeti, ni ma special agent toka Urusi.

Mfano mzuri ni Elon Musk.

Alipokuwa anahangaika kutafuta mtaji wa kufungua kampuni yake ya space X alienda Moscow.

Alienda kupewa mtaji pamoja na maroketi ya kuanzia, ni wazi hawakumpa burebure, walimpa kazi ya kuwa ''mtu wao''.

Haya mambo yako wazi sana, cha ajabu kuna watu watabisha.
 
Trump ni tapeli sana, mbwembwe zote kumbe anamendea rasilimali za Ukraine?
Nimemchukia ghafla na hana utu kabisa
Hiyo ni sera ya marekani sehemu nyingi lazima wavune!
 
Hapa Trump kaongea ujinga Sana
Hivi aliyevamiwa ndo dictator au aliyevamia mwenzake
Ni aibu Rais wa Taifa kubwa kuwa pupet wa Russia
Inawezekana kulikuwa hakuna maelewano mazuri na Ukraine, kabla ya kuingia madarakani
 
Hiyo ni sera ya marekani sehemu nyingi lazima wavune!
Hapo anaevuna ni Urusi, Trump ameingia ikulu kuhakikisha Putin anapata kila anachotaka.

Ulaya nzima imechanganyikiwa haijui cha kufanya.

Raisi wa Ufaransa ameitisha kikao juzi halafu kwny kikao hawajajua wadeal vipi na Trump.

Ni disaster.
 
marekani hafanyi biashara isiyo na faida hapigi domo bure!
 
Kuna watu tuliwaambia wakawa wakali. Trump ni pandikizi la Urusi. Amewekwa whitehouse na Putin.

Sasa hivi Marekani inaendeshwa kwa rimoti kutoka Moscow.
Hakuna cha pandikuzi la Urusi wala nini Marekani inataka kujiondoa kwenye vita ya Ukraine bila aibu kupitia mgongo wa Trump.
 
Ni kweli Urusi ndio walianza kurusha mabomu, baada ya Ukraine kukiuka makubaliano kwa kutaka kujiunga NATO.
Achilia mbali, chuki zilizopo kwa utawala wa sasa kwa Ukraine; Ukraine wangeweza kuzuia hii vita kama wasingeonyesha nia ya kujiunga na NATO.
Mfano mdogo tu; pale kisiwani wajichukulie maamuzi wao wenyewe ya kuruhusu labda jeshi la Iran kuweka 'base' pale, hapo utaona moto utakaotokea.​
 
Ukraine amejiunga na NATO?
 
Trump ni mtu wa hovyo, siyo Mwanasiasa na Wala siyo Mwanadiplomasia, bali ni Mfanyabiashara. Anataka Madini ya Ukraine, baada ya kukataliwa na Zelensky akaamua kumjengea chuki.

Aidha, Ukraine ni Nchi inayojitegemea, ina Sovereignty yake na ilikuwa na HAKI zote kabisa za kujiunga na NATO bila ya kuingiliwa na Utawala wa Urusi. Ukraine siyo Jimbo la nchi ya Urusi.

Zanzibar ni sehemu ya nchi ya Tanzania, kamwe haiwezi kufananishwa na Ukraine.
 
Zanzibar ni nchi na Tanzania ni muungano wa nchi mbili huru Tanganyika na Zanzibar.

Niweka records sawa.
 
Trump ni mtu wa hovyo, siyo Mwanasiasa na Wala siyo Mwanadiplomasia, bali ni Mfanyabiashara. Anataka Madini ya Ukraine, baada ya kukataliwa na Zelensky akaamua kumjengea chuki.

Aidha, Ukraine ni Nchi inayojitegemea, ina Sovereignty yake na ilikuwa na HAKI zote kabisa za kujiunga na NATO bila ya kuingiliwa na Utawala wa Urusi. Ukraine siyo Jimbo la nchi ya Urusi.

Zanzibar ni sehemu ya nchi ya Tanzania, kamwe haiwezi kufananishwa na Ukraine.
Nafikiri hufahamu mambo ya kiusalama ya nchi.
 
Back
Top Bottom