Trump amuita Zelensky dikteta

Trump amuita Zelensky dikteta

Trump wanaweza kumfanyia assassination huu mchezo bado mbichi.

Europe kamwe haiwezi kubali kushindwa na Russia watatumia hata goli la mkono. Time will tell
sera yake ya MAGA ni kitisho kwa ulaya. Ulaya itaifanya nini marekani inayotitimua kuwa kubwa kuliko wao? Wakimfanyia assassin si itakuwa balaa?
 
Ha

Hallooo mwehu gani Tena? Mbana Muna maneno mabaya kwa trampu?

Ule uchaguzi wa mwanzo uliomwingiza Trump madarakani, taarifa ya CIA ilieleza kuwa KGB kitengo cha udukuzi kilimsaidia Trump kudukia taarifa za washindani wake.

Yumkoni Trump ni rafiki au puppet wa Putin. Kauli yake ya karibuni amemsifia sana Putin na kumtaja kuwa ni kiongozi mwenye akili kubwa. Hii ina maana hata yeye Putin anautamani utawala ule wa kidikteta na wa kilaghai wa Putin.

Putin ni bahati tu ametawala nchi kama Marekani, angekuwa kama huku Afrika angrkuwadikteta wa kiwango ambacho huenda Dunia nzima haijawahi kushuhudia.
 
Kwa nini afute shughuli za kisiasa ilhali Masta wake alishapitia vita kubwa nchini mwake ya wenyewe kwa wenyewe (American Civil War 1861-1865) na hakusimamisha shughuli za kisiasa wala uchaguzi?
 
20250220_085934.jpg
 
Huyu ni bepari haswa.
Nimeona mambo mawwili hapa:
1. US anayataka madini ya Ukraine.

2. Hapo hapo anataka akiyapata madini atakuwa na kisingizio cha kuingia Ukraine kwa mgongo wa kulinda maslahi yake.

3. Naona Urusi inatendwa kwa akili pia
 
Ule uchaguzi wa mwanzo uliomwingiza Trump madarakani, taarifa ya CIA ilieleza kuwa KGB kitengo cha udukuzi kilimsaidia Trump kudukia taarifa za washindani wake.
Kwa hiyo Wamarekani ni dhaifa kwa kiwango kwamba Viongozi wao wanaweza kuchaguliwa kwa ushawishi wa Raia wasio-wamarekani? Kama ni hivyo, hii ni hatar
Yumkoni Trump ni rafiki au puppet wa Putin. Kauli yake ya karibuni amemsifia sana Putin
Urafiki wa mtu na mtu ni kitu kizur!
na kumtaja kuwa ni kiongozi mwenye akili kubwa. Hii ina maana hata yeye Putin anautamani utawala ule wa kidikteta na wa kilaghai wa Putin.
Kuna kosa Urusi kuongozwa na Raisi mwenye akili sana?
Putin ni bahati tu ametawala nchi kama Marekani, angekuwa kama huku Afrika angrkuwadikteta wa kiwango ambacho huenda Dunia nzima haijawahi kushuhudia.
Kwani udikiteta ni nini?
 
Nimeona mambo mawwili hapa:
1. US anayataka madini ya Ukraine.

2. Hapo hapo anataka akiyapata madini atakuwa na kisingizio cha kuingia Ukraine kwa mgongo wa kulinda maslahi yake.

3. Naona Urusi inatendwa kwa akili pia
Trump na Putin naona kama wameshagawana Ukraine kikwazo ni bwana mdogo Zelensky, hapa wanataka kuweka kibaraka wao.
 
Trump ni tapeli sana, mbwembwe zote kumbe anamendea rasilimali za Ukraine?
Nimemchukia ghafla na hana utu kabisa
Tupo pamoja mkuu. Lakini nakuomba fafanua juu ya Trump kuzitaka rasilimali za ukraine. Huenda habari ilinipita kidogo.
 
hivi huyu Putin anaeua wapinzani wake na kuwaweka jela ndio mwanademocrasia mzuri
 
Tupo pamoja mkuu. Lakini nakuomba fafanua juu ya Trump kuzitaka rasilimali za ukraine. Huenda habari ilinipita kidogo.
Alimwambia rais wa Ukraine kuwa atoa madini zaidi ya 50% ya madini yote ili asaidiwe hii vita kuisha sijui na silaha?
Anayekumbuka atanirekebisha
 
Trump calls Zelensky a 'dictator' as he hits back at 'disinformation' criticism​

Watch live
Zelensky stands in front of Ukrainian flags

Advertisement

Summary​

Trump alitaka uchaguzi uendeshwe katikati ya vita, wapi aliwahi kuona utaratibu huo ukitumika duniani?
 
Trump ni tapeli sana, mbwembwe zote kumbe anamendea rasilimali za Ukraine?
Nimemchukia ghafla na hana utu kabisa
Kuna watu tuliwaambia wakawa wakali. Trump ni pandikizi la Urusi. Amewekwa whitehouse na Putin.

Sasa hivi Marekani inaendeshwa kwa rimoti kutoka Moscow.
 
Back
Top Bottom