Trump amuita Zelensky dikteta

Trump amuita Zelensky dikteta

Hapa Trump kaongea ujinga Sana
Hivi aliyevamiwa ndo dictator au aliyevamia mwenzake
Ni aibu Rais wa Taifa kubwa kuwa pupet wa Russia
Marekani wapo Syria kulinda usalama wa nchi yao
Russia yupo Donbas kulinda usalama wake...
Ukraine wakubali kuwa neutral(wasijiunge Nato),wakomeshe uNazi Russia ataondoka.
 
Hata watu wote anaowateua kwenye sehemu nyeti, ni ma special agent toka Urusi.

Mfano mzuri ni Elon Musk.

Alipokuwa anahangaika kutafuta mtaji wa kufungua kampuni yake ya space X alienda Moscow.

Alienda kupewa mtaji pamoja na maroketi ya kuanzia, ni wazi hawakumpa burebure, walimpa kazi ya kuwa ''mtu wao''.

Haya mambo yako wazi sana, cha ajabu kuna watu watabisha.
Hujui kuwa makombola ya Ukraine yanayopiga mikoa ya Russia yanaongozwa star link?
Satelite alizotoa Musk bure kwa Ukraine?
 
Trump ni tapeli sana, mbwembwe zote kumbe anamendea rasilimali za Ukraine?
Nimemchukia ghafla na hana utu kabisa
US chini ya Biden kaipa Ukraine fedha nyingi sana, now it's payment time.
 
Kachomoa ndio hata silaha zenyew kutoka US zelensky alikuw ananunua so trump hatopata madini ukraine
Kanunua au alikuwa anapewa kwa mkopo? Au mwenzetu ulikuwa wapi media zikitangaza mikopo ya silaha anayopatiwa Zelensky?

Upande wenye madini na rasilimali nyingi kwa Ukraine ni upande wa mashariki ambao Russia anazidi kumega maeneo.

Ukraine tangu ipatiwe misaada ya kila hali hajarudisha hata mita 300 maeneo yaliyochukuliwa.

Hiyo mikopo itarudishwaje ikiwa maeneo yote yenye thamani kubwa ndani ya Ukraine yanachukuliwa?

Trump kaona asimamishe vita tu! Maeneo aliyoyachukua Russia watajuana Ukraine na Russia na EU.

Yeye anataka vita iishe na maeneo yaliyobaki yatumike kama fidia ya mikopo waliyoipa Ukraine kufidia gharama za vita.
 
Hebu fungua hizo link usome sina muda wa kuandika magazeti

Putin hajawahi kusitisha kipindi cha uchaguzi.anafuata katiba na anachaguliwa kwa kura . Zelensky muda umeisha hataki kufanya uchaguzi kama siyo dikteta ni nani?
Utafanya vipi uchaguzi katikati ya vita vibaya namna Ile ?
 
Back
Top Bottom