Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hata watu wote anaowateua kwenye sehemu nyeti, ni ma special agent toka Urusi.Hapa Trump kaongea ujinga Sana
Hivi aliyevamiwa ndo dictator au aliyevamia mwenzake
Ni aibu Rais wa Taifa kubwa kuwa pupet wa Russia
Mfano mzuri ni Elon Musk.
Alipokuwa anahangaika kutafuta mtaji wa kufungua kampuni yake ya space X alienda Moscow.
Alienda kupewa mtaji pamoja na maroketi ya kuanzia, ni wazi hawakumpa burebure, walimpa kazi ya kuwa ''mtu wao''.
Haya mambo yako wazi sana, cha ajabu kuna watu watabisha.