Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

Hawataweza hata siku 1 kukutana uso kwa uso ndo maana hao jamaa wanapendaga sana kupigana kwa kutumia vivuli vya wengine,,siku wakikutana wao kwa wao tena ile wazi wazi basi ndo vita kuu ya 3 imeanza hao jamaa wenye makombora ya nuclear wanajitahidi wakwepane sana kwenye zile 1 to 1 ndo maana kuna maeneo wanawalipa "mercenaries" kama wale wagner au Blackwater ili wasikutane uso kwa uso kama taifa bali proxies tu.........na kuna dalili kati ya Mchina au Mrusi mmojawapo anaweza akakutana na bepari kule DRC
 
Inaonekana viongozi wa irani huwajui vizuri, maana ",Ayatollah khomeini ameshakufa aliyemrithi ambaye ndio kiongozi mkuu wa irani kwa sasa ni Ayatolla khamenei."
 
Trump anataka aonekane yey anaiweza MAGA! Madini ya Ukrain ameyaomba yeye, lakini ya DRC anasema DRC ndio wameiomba USA iwasaidie ulinzi. Ilimradi tu ionekane USA haijipendekezi kwa DRC!
 
Kama wangekua na akili matope kama zako c zele angesain mkataba pale alipoitwa na trump ..
 
Anakuza heshima ya taifa lake na ndiyo maana ya MAGA, walioshusha heshima ya Amerika ni akina Biden na maswahiba wao.Wenge analo Siri ya Sufuri.Kwani Mzee huenda kasha minya mahali
MAGA ni code ya β€œwhite supremacy”. Kwa Trump na maswahiba wake hiyo ndiyo heshima ya Marekani.

Kichocheo kikubwa ni tishio walilopata kwa Obama kushinda uRais wa USA mwaka 2008 na 2012. Hawakutarajia kabisa; iliwatibua sana. Mengine ni vibwagizo tu. Sasa hivi wanajivunia β€œTrump country” na kutishia wenye asili nyingine hasa weusi kwamba β€œwarudi kwao”.
 
wamemuwezaje ilihali kashakamata maeneo?
 
Ni kama kuchanganyikiwa tu,ana mambo mengi hajui kuyapangilia,ana matumaini makubwa hajui namna yakuyafikia,anatamani vingi hajui namna yakuvipata. Labda niseme hana utulivu unaweza kunielewa kirahisi.
Kwa hiyo wewe unajua kuliko serikali ya Marekani???πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Anatumia stile za ujambazi za miaka ya ukoloni kulazimisha watu japo kwa Sasa Bado walikua wanatumia NEO-COLONIALISM.
Kinachomuumiza akili na wahuni/matajiri wenzao hapo marekani wakiongozwa na kina Elon musk ni ukuaji wa kistaarbu kidogo wa nchi kama China,India n.k
Wao wanataman wawatishe dunia nzima China aporomoke,kwa sasa wanajarbu kupunguza vita ya hasara na mrusi ili wamgeukie adui wanaemtafuta(China)
Walimkosa kwenye vita na Urus,chokochoko ya mwaka juzi ya Taiwan,na sasa wanataka kumkabili mchina maana after 10yrs mchina atakua the most worl super power
 
Samaki ana vipande vingapi β€œvitatu” vitaje kichwa,tumbo na mkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…