Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

Huyo nashaka sana hana dini, sababu angekuwa mkristo lazima akubaliane na mkataba wa kanisa, gay rights 😄
Huo Mkataba wa Kanisa wa Gay rights ni wa kanisa lipi?

Please weka hapa hiyo Article tuione
 
Swali kama bibilia zenu zinakataza kwanini nchi za Western, USA na Israel wana promote gay rights?

Wapi kwenye nchi za Kislam uliona wana promoting gay rights?

Je hakuna ndoa za jinsia moja zinafungwa kanisani?

Uliwahi kuona ndoa za jinsia moja zinafungwa kwenye Masajid?
Masajid ndio nini? Sema Masjid

Halafu uliulizwa swali, jibu swali uliloulizwa nawewe uulize swali. Thats a perfect dialogue

1) Iko wapi hiyo katiba ya Kanisani inayoruhusu Ushoga, tuoneshe tu Article hata moja

2) Ni wapi katika Biblia kumeruhusu Ushoga? Hebu tuwekee mstari hata mmoja

NB: Achana na scenario za mtu mmoja mmoja au kikubdi cha watu, tupe facts with evidence
 
Huyo nashaka sana hana dini, sababu angekuwa mkristo lazima akubaliane na mkataba wa kanisa, gay rights 😄
Inaonekana unasumbuliwa sana na Udini na ndo mana unakashifu ukristo. Uwezo wako wa kupambanua mambo unatia mashaka. Naomba utupe mstari unao himiza huo mkataba kwa kutumia Biblia.
 
Trump ana hofu ya Mungu kuliko Papa for sure! Anakemea ushenzi hadharani bila kuzungusha zungusha maneno. Straight to the point - God Created Two Genders; nothing less, nothing more.
Hivi Papa alisema Mungu aliumba jinsia ngapi kweli?
 
Back
Top Bottom