Trump Anaogopa Kuifuta Iran Vitisho Vyake Havikuwatisha Iran

Trump Anaogopa Kuifuta Iran Vitisho Vyake Havikuwatisha Iran

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,253
Reaction score
15,070
Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu wamarekani hawana uwezo wa kusubiri kipigo cha Iran. Anasema Iran wanauwezo huo wa kusubiri , kipigo cha USA lazima apigane tu nyuma ya pazia

Trump jaziona AlFatah Missiles zilivyo control jana anga la Israel lote bila kuonekana he akitumia Hebari Missiles si balaa.

Trumps kisha ona wanajeshi wakimarejani watafabywa BBQ lazima wamtumie huyo Israel tu kama wanavyo mtumia Ukraine.

iran kupiga vase za USA ni rahisi kuliko kupiga Israel ukweli ni huo sababu kuna nchi karibu 12 zipo Jordan kazi zao kuikingia kifua Israel

View: https://youtu.be/l0xWuhzaiTE?si=39Mq0fC7OXQFQrLd
 
Hali ya uchumi ni ngumu. Ukreni alishamdhoofisha Marekani ndiyo maana kuingia tena Irani ni ngoma nzito.
20250617_231324.jpg
 
Kwahiyo wewe ndio umejipa kazi ya kuwa msemaji wa iran
 
Hali ya uchumi ni ngumu. Ukreni alishamdhoofisha Marekani ndiyo maana kuingia tena Irani ni ngoma nzito.
Iran ametangaza aa control air space ya Israel ana Air Supremacy hakuna anaye uwezo wa kuzizua Al Fatah Missiles

View: https://youtu.be/P3xKVELui7c?si=nWzvCG0x989HNUFw

Nadhani hicho ndio kimemtisha USA kaona atafute njia ya maongezi tu na Iran huku anamsaidia Israel kwenye kuangusha Missiles na kwenye Logistic mfano wa kurefuel na kumpa silaha basi
 
Ukweli huo? Maana Israeli naye anasema amelidhibiti anga la Irani.
 
Kwahiyo wewe ndio umejipa kazi ya kuwa msemaji wa iran
Arabia tv channel hao wanao sema sio mimi, hio channel wanajulikana wanavyo wasapoti Israel. Channel ipo UAE na ya Saud Arabia kuhusu Air Supremacy aliyo nayo Iran kwenye anga la Israel

Kuhusu Trump kuongea vile ni Arab channel ndio wametangaza Trump kaongea mwenyewe. Anasema Iran wanauwezo wa kusubiri wamarekani hawana hahaha kaziogopa Al fatah Missiles. Hazionekani hizo kwenye Radar unashtukia kitu kinatua na impact yake ni balaa hahaha

View: https://youtu.be/lOhUjGiN-sY?si=kNVggJ0Czjy6hIzW
 
Kwa sasa Trump anachofanya ni kupiga mikwara ili kujaribu kuwatisha na kuwavunja nguvu wa Iran. Ila kiuhalisia hana uwezo wa kubadilisha maamuzi ya Iran dhidi ya Israel.

Israel atatandikwa usiku na mchana hadi atapoomba poo mwenyewe hata kwa kupitia mlango wa nyuma haswa kwa kuzishirikisha nchi za kiarabu zitafute suluhu ya mzozo huo wa vita kimya kimya.

Kuna uwezekano mkubwa wa Saudi Arabia kutumiwa na Marekani kuishawishi Iran isitishe mapigano huku yenyewe (Marekani) ikiishauri Israel nayo isitishe kushambulia Iran ili kupata suluhu ya vita. Maana wamegundua kuwa Iran ni kina kirefu mno kamwe hakiwezi kuingilika kupitia visilaha vidogo vya Israel anavyopewa na mabwana zake wa magharibi.
 
Leo Ayatollah ameweka picture ikisema Haibar inanza vita tusubiri leo anga la Israel litakavyo chafuliwa na hizo Haibar Missiles ikiwa Al Fatah imewatia adabu jana vipi hizi Haibar Missiles

View: https://www.youtube.com/live/v04am3ilOi0?si=cJTCsE574mP-6efe

Ambassador wazamani wa Israel kule Egypt, anasema Israel hawezi kumshinda vita Iran lazima turudi kwenye diplomacy tu

View: https://youtu.be/v5FozbN0jKE?si=Zpzu_Dhv7bL1g-GZ
 
Hahaha g8zo propiganda zenu peleka kwenye stand ya kuzuaa mayai ndala. Israel hoi uko kaishiwa air defense system leo anga la israel ni mterezo tu
Jihadists wote mjiandae kubadili I'd au mpotee mazima kwenye jukwaa hili.
 
Jihadists wote mjiandae kubadili I'd au mpotee mazima kwenye jukwaa hili.
Hawana lolote walituambia wamecontrol anga milidhani hio ni twitter.com kumbe 🇮🇷 nikajua Trump na Shetanyahu wametwitt wako Tehran kumbe mmoja wao yuko chini ya shimo kule Jerusalem hajui kinacho enda anatoka kuja angalia majumba yalio bomolewa afu anatoa maneno ya kanga
 
Back
Top Bottom