Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu wamarekani hawana uwezo wa kusubiri kipigo cha Iran. Anasema Iran wanauwezo huo wa kusubiri , kipigo cha USA lazima apigane tu nyuma ya pazia
Trump jaziona AlFatah Missiles zilivyo control jana anga la Israel lote bila kuonekana he akitumia Hebari Missiles si balaa.
Trumps kisha ona wanajeshi wakimarejani watafabywa BBQ lazima wamtumie huyo Israel tu kama wanavyo mtumia Ukraine.
iran kupiga vase za USA ni rahisi kuliko kupiga Israel ukweli ni huo sababu kuna nchi karibu 12 zipo Jordan kazi zao kuikingia kifua Israel
View: https://youtu.be/l0xWuhzaiTE?si=39Mq0fC7OXQFQrLd
Jf miyeyusho sn kwamba haiwezekani kubadili errorsModerators pls badilishe iwe kuigusa type error
Yaan unavyoongea kuhusu USA utafikili unazungumzia Kijiji fulani hivi. Nikwambie kitu kwenye swala la vita Iran ni mdogo sana kwa USA. Uliza wanaojua medani za vita watakwambia ukweli. Acha kujipa matumaini hewa sababu ya midevu ya khamenei.Inaweza tulieni dawa iwaingie
Huyo mzee wa propaganda mpe mda tu ataanza kuilaumu Israel na USA ndiyo kawaida yakeUkweli huo? Maana Israeli naye anasema amelidhibiti anga la Irani.
Kama wewe unavyoona mwenye Irani na wengine wanaona mwenye haki Israel.Nasimama na mwenye haki Iran
Alikimbia Yemen juzi tu hapo alienda msaidia Israel na alikimbia Afghanstan pia na atakimbia Iran. U s na Israel wao vita vyao ni kupiga haraka haraka wanadhani ndio kushinda vita ni uvumilivu ambao Iran anao hao hawana.Yaan unavyoongea kuhusu USA utafikili unazungumzia Kijiji fulani hivi. Nikwambie kitu kwenye swala la vita Iran ni mdogo sana kwa USA. Uliza wanaojua medani za vita watakwambia ukweli. Acha kujipa matumaini hewa sababu ya midevu ya khamenei.
Hawana Israel inapigana miaka mingapi now? Alafu unasema Aina uvumilivu inakuingia akilini kweli?. Mkuu ushabiki unakuzidi mpaka unatoka kwenye uhalisia na ukweli?.Alikimbia Yemen juzi tu hapo alienda msaidia Israel na alikimbia Afghanstan pia na atakimbia Iran. U s na Israel wao vita vyao ni kupiga haraka haraka wanadhani ndio kushinda vita ni uvumilivu ambao Iran anao hao hawana.
Sawa USA ana nguvu hata Firauni alikuwa na nguvu kuliko Mussa lakini badaye nani alishinda. Mwenye nguvu ni Mungu tu na siku zote hakuna taifa litabaki na nguvu kama Mungu hatakiHawana Israel inapigana miaka mingapi now? Alafu unasema Aina uvumilivu inakuingia akilini kweli?. Mkuu ushabiki unakuzidi mpaka unatoka kwenye uhalisia na ukweli?.
Iran hamuwezi USA kivyovyote vile usijipe matumaini hewa. Haya mambo ndiyo yaliyomponza sadam alijipa matumaini hewa kuwa anamuweza USA akaingia vitani. Akaja kukamatwa Kama panya .
Propaganda izoo
Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu wamarekani hawana uwezo wa kusubiri kipigo cha Iran. Anasema Iran wanauwezo huo wa kusubiri , kipigo cha USA lazima apigane tu nyuma ya pazia
Trump jaziona AlFatah Missiles zilivyo control jana anga la Israel lote bila kuonekana he akitumia Hebari Missiles si balaa.
Trumps kisha ona wanajeshi wakimarejani watafabywa BBQ lazima wamtumie huyo Israel tu kama wanavyo mtumia Ukraine.
iran kupiga vase za USA ni rahisi kuliko kupiga Israel ukweli ni huo sababu kuna nchi karibu 12 zipo Jordan kazi zao kuikingia kifua Israel
View: https://youtu.be/l0xWuhzaiTE?si=39Mq0fC7OXQFQrLd
Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu wamarekani hawana uwezo wa kusubiri kipigo cha Iran. Anasema Iran wanauwezo huo wa kusubiri , kipigo cha USA lazima apigane tu nyuma ya pazia
Trump jaziona AlFatah Missiles zilivyo control jana anga la Israel lote bila kuonekana he akitumia Hebari Missiles si balaa.
Trumps kisha ona wanajeshi wakimarejani watafabywa BBQ lazima wamtumie huyo Israel tu kama wanavyo mtumia Ukraine.
iran kupiga vase za USA ni rahisi kuliko kupiga Israel ukweli ni huo sababu kuna nchi karibu 12 zipo Jordan kazi zao kuikingia kifua Israel
View: https://youtu.be/l0xWuhzaiTE?si=39Mq0fC7OXQFQrLd
Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu wamarekani hawana uwezo wa kusubiri kipigo cha Iran. Anasema Iran wanauwezo huo wa kusubiri , kipigo cha USA lazima apigane tu nyuma ya pazia
Trump jaziona AlFatah Missiles zilivyo control jana anga la Israel lote bila kuonekana he akitumia Hebari Missiles si balaa.
Trumps kisha ona wanajeshi wakimarejani watafabywa BBQ lazima wamtumie huyo Israel tu kama wanavyo mtumia Ukraine.
iran kupiga vase za USA ni rahisi kuliko kupiga Israel ukweli ni huo sababu kuna nchi karibu 12 zipo Jordan kazi zao kuikingia kifua Israel
View: https://youtu.be/l0xWuhzaiTE?si=39Mq0fC7OXQFQrLd
Wewe ni ****** tu, nenda kawasaidie US na Israel kuzitafuta Nuclear zimepotea, tatizo wazazi wako walikupeleka kupika gongo badala kwenda high school.We mkundyuuu njoo Tena ubwabwaje kwamba USA anaiohopa Iran