Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Inaweza tulieni dawa iwaingieIla Iran inaweza ifuta Israel
Hali ya uchumi ni ngumu. Ukreni alishamdhoofisha Marekani ndiyo maana kuingia tena Irani ni ngoma nzito.
Iran ametangaza aa control air space ya Israel ana Air Supremacy hakuna anaye uwezo wa kuzizua Al Fatah MissilesHali ya uchumi ni ngumu. Ukreni alishamdhoofisha Marekani ndiyo maana kuingia tena Irani ni ngoma nzito.
Bunduki hadi kwenye situation room?
Ukweli huo? Maana Israeli naye anasema amelidhibiti anga la Irani.Iran ametangaza aa control air space ya Israel ana Air Supremacy hakuna anaye uwezo wa kuzizua Al Fatah Missiles
View: https://youtu.be/P3xKVELui7c?si=nWzvCG0x989HNUFw
Nadhani hicho ndio kimemtisha USA kaona atafute njia ya maongezi tu na Iran huku anamsaidia Israel kwenye kuangusha Missiles na kwenye Logistic mfano wa kurefuel na kumpa silaha basi
Arabia tv channel hao wanao sema sio mimi, hio channel wanajulikana wanavyo wasapoti Israel. Channel ipo UAE na ya Saud Arabia kuhusu Air Supremacy aliyo nayo Iran kwenye anga la IsraelKwahiyo wewe ndio umejipa kazi ya kuwa msemaji wa iran
Israel anaungushiwa ndege lakini wao Israel hawazioni Al Fatah MissilesUkweli huo? Maana Israeli naye anasema amelidhibiti anga la Irani.
Leo Ayatollah ameweka picture ikisema Haibar inanza vita tusubiri leo anga la Israel litakavyo chafuliwa na hizo Haibar Missiles ikiwa Al Fatah imewatia adabu jana vipi hizi Haibar MissilesKwa sasa Trump anachofanya ni kupiga mikwara ili kujaribu kuwatisha na kuwavunja nguvu wa Iran. Ila kiuhalisia hana uwezo wa kubadilisha maamuzi ya Iran dhidi ya Israel.
Israel atatandikwa usiku na mchana hadi atapoomba poo mwenyewe hata kwa kupitia mlango wa nyuma haswa kwa kuzishirikisha nchi za kiarabu zitafute suluhu ya mzozo huo wa vita kimya kimya.
Kuna uwezekano mkubwa wa Saudi Arabia kutumiwa na Marekani kuishawishi Iran isitishe mapigano huku yenyewe (Marekani) ikiishauri Israel nayo isitishe kushambulia Iran ili kupata suluhu ya vita. Maana wamegundua kuwa Iran ni kina kirefu mno kamwe hakiwezi kuingilika kupitia visilaha vidogo vya Israel anavyopewa na mabwana zake wa magharibi.
Hahaha g8zo propiganda zenu peleka kwenye stand ya kuzuaa mayai ndala. Israel hoi uko kaishiwa air defense system leo anga la israel ni mterezo tuSomeni na hii basi kwa wale ambao hakuishia elimu ya madrasa peke yake.๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Jihadists wote mjiandae kubadili I'd au mpotee mazima kwenye jukwaa hili.Hahaha g8zo propiganda zenu peleka kwenye stand ya kuzuaa mayai ndala. Israel hoi uko kaishiwa air defense system leo anga la israel ni mterezo tu
Hawana lolote walituambia wamecontrol anga milidhani hio ni twitter.com kumbe ๐ฎ๐ท nikajua Trump na Shetanyahu wametwitt wako Tehran kumbe mmoja wao yuko chini ya shimo kule Jerusalem hajui kinacho enda anatoka kuja angalia majumba yalio bomolewa afu anatoa maneno ya kangaJihadists wote mjiandae kubadili I'd au mpotee mazima kwenye jukwaa hili.