Trump Anaogopa Kuifuta Iran Vitisho Vyake Havikuwatisha Iran

Mkuu alfatah na hebari ni toleo gani hilo na yana sifa zipi??
 
Inaweza tulieni dawa iwaingie
Yaan unavyoongea kuhusu USA utafikili unazungumzia Kijiji fulani hivi. Nikwambie kitu kwenye swala la vita Iran ni mdogo sana kwa USA. Uliza wanaojua medani za vita watakwambia ukweli. Acha kujipa matumaini hewa sababu ya midevu ya khamenei.
 
Alikimbia Yemen juzi tu hapo alienda msaidia Israel na alikimbia Afghanstan pia na atakimbia Iran. U s na Israel wao vita vyao ni kupiga haraka haraka wanadhani ndio kushinda vita ni uvumilivu ambao Iran anao hao hawana.
 
Sema ayatollah anachelewa sana mwisho watamuua angewahi fasta aigeuze juu chini
 
Alikimbia Yemen juzi tu hapo alienda msaidia Israel na alikimbia Afghanstan pia na atakimbia Iran. U s na Israel wao vita vyao ni kupiga haraka haraka wanadhani ndio kushinda vita ni uvumilivu ambao Iran anao hao hawana.
Hawana Israel inapigana miaka mingapi now? Alafu unasema Aina uvumilivu inakuingia akilini kweli?. Mkuu ushabiki unakuzidi mpaka unatoka kwenye uhalisia na ukweli?.
Iran hamuwezi USA kivyovyote vile usijipe matumaini hewa. Haya mambo ndiyo yaliyomponza sadam alijipa matumaini hewa kuwa anamuweza USA akaingia vitani. Akaja kukamatwa Kama panya .
 
Sawa USA ana nguvu hata Firauni alikuwa na nguvu kuliko Mussa lakini badaye nani alishinda. Mwenye nguvu ni Mungu tu na siku zote hakuna taifa litabaki na nguvu kama Mungu hataki
 
Unakaa bonyokwa unajua nini mzee..acha tuondoe magaidi na silaha za hatari huko middle east ..middle east inatakiwa kua sehem salama kama sehem nyingine watu wanaweza kwenda kufanya mambo yao kwa amani
 
We mkundyuuu njoo Tena ubwabwaje kwamba USA anaiohopa Iran
 
We mkundyuuu njoo Tena ubwabwaje kwamba USA anaiohopa Iran
Wewe ni ****** tu, nenda kawasaidie US na Israel kuzitafuta Nuclear zimepotea, tatizo wazazi wako walikupeleka kupika gongo badala kwenda high school.

Wewe na Trump na Netanyahu mna akili zinaitwa empty target.

Israel wanaulizana Nuclear za Iran zimepotelea wapi sababu hakuna hata radiation.

Trump katumia kwenye Fawder Nuclear plant 170 tons afu hukupata lolote huo si ujinga, atawambia vipi wananchi wa America gharama alizo poteza unajipigia tu kama mwehu hujui mle kuna Nuclear materials au hamna.

Pili wale warabu walio msaidia Trump sa watajiuliza hivi kweli US ni rafiki yao, au adaui yao, leo Iran angekuwa hakuondoa hizo Nuclear materials si wao wangedhurika kwanza au kama wanavyo dai wengine hata MOP ime failed hapo Fawder Nuclear plant. Solution itakuwa ni nini, USA ataingiza jeshi lake Iran mavi yake.

We ****** next time jifunze adabu unapo ongea na mimi shika adabu yako ****** wa Baba yako aliye zaa mikundu kama hiyo hapo kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…